Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Badala ya kua wakosoaji wakuuu na wabunifu kimawazo, mipango na mikakati mbadala wa kinacholalamikiwa na wanainchi, wao sasa ndio wamekua sehemu ya walalamikaji mahiri na hodari, na sasa wamepoteana na Kupoteza uelekeo kabisa mazima...
Hayati Edward N. Lowasa, aliwahi kusema, na nukuu "haiwezekani katika nchi kiongozi analalamika na mwananchi analalamika"
Aise viongozi wa kisiasa wamekua hodari kulalamika dah, hadi aibu!
Sifahamu ni wamesahau, wamechoka au wameamua kukimbia na kutelekeza wajibu wao wa msingi kukosoa serikali kwa sera, hoja na mipango mikakati mbadala itakayochochea uwajibikaji, uwazi, utawala bora na wa sheria, uhuru, haki, usawa n.k wa serikali iliyopo madarakani.
Lakini pia wameacha kabisaa kuisimamia serikali kutekeleza ahadi zake kwa wanainchi. Na zaidi sana wameacha hata kueleza dira, mikakati na uelekeo wa sera zao. Na kwenye hili kumekua hakuna chama kikubwa wala kidogo vyote vimekua na uwezo sawa. wamekua tu wakitaja majina ya viongozi hovyo hovyo kwa gubu zao binafsi bila kuzingatia maslahi mapana ya taasisi zao na wanainchi kwa ujumla. Hakuna tena credibility ya viongozi hao mbele ya wafuasi wao, lakini pia hakipo tena cha kuwaaminisha wananchi kwamba ati wanawatetea.
Viongozi wa kisiasa wamekua na sura za kilaghai, kitapeli, lakini pia za kippupet
Kwasababu ya nia na dhamira njema ya viongozi wa nchi,
kinachofanyika bayana hivi sasa, ni serikali inajisimamia yenyewe, inajikosoa yenyewe, inajitathimini yenyewe, inajisahihisha yenyewe na kujirekebisha yenyewe. Inapokea malalamiko na changamoto kidogo sana, kutoka kwa wanasiasa na wananchi na kushughulika nayo kadiri inavyoona inafaa. Inafanya kazi kwa weledi na uadilifu sana. Na kwasababu inawasikiliza wanainchi, inaaminika na kwakweli ndio maana inachagulika kila uchaguzi.
Hii imesaidia sana serikali kutekeleza majukumu na wajobu wake kwa wanainchi, vizuri sana comfortably na kwa Uhakika zaidi, with completely no pressure or deconstructive criticism from any party
Licha ya kukumbwa na ukata mkubwa wa kifedha, hali ya kukata tamaa, kukosekana dira, mipango, uelekeo na viongozi wasioeleweka na kukubalika kwa wananchi, bado jukumu la kuiwajibisha serikali ni lao, hawapaswi kulitoroka bali kulifanya ipasavyo. uhuru na haki ya kufanya hivi upo wazi kabisa nchi nzima.