Hili la Vodacom na Airtel ku-block SMS zenye jina Tundu Lissu limekaaje?

Leo nimepita kwenye twita nikakuta bandiko linaloonesha yakua ukituma sms kumuombea kura tundulisu haziendi ila ukiandika magufuli zinaenda, sasa nikajiuliza magufuli kuika huko ameishajua anashidwa, kwann amefika mbali mno, Yaan TISS, Polisi, NEC, vyombo vya habari, mambango Tra n.k sasa ameamia kwenye makampuni ya simu? Eee hii kali ya mwaka.
 
Kwelii aiseee
 

Attachments

  • Screenshot_20201024-050801_Messages.jpg
    13.5 KB · Views: 21
Adabu yao Vodacom na Airtel kuisusia mitandao yao na kujiunga kwengine, watu laki moja wakisusa hasara kubwa kwao.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mtandao wa voda wapumbavu sana,yaani ukiandika neno chadema au jina lissu,Sms haiendi,ila ukiandika magufuli au ccm inaenda vizuri.Hii mitandao naona imeacha kufanya biashara inafanya siasa kwa sasa,wametudharau sana wateja!!

Chadema inaenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…