Kama una vVda jaribu kuandika Tundu Lissu uone kama SMS itaendaWeka bandonacha kelele
Wameweka kama spam sms. Inabidi John Mnyika aamke huko alipo aijulishe dunia. Huu ni ushahidi mwingine hatupo huru.Hakika hii ni zaidi ya CHUKI
He! Utopolo tena!? Unawatania Yanga ujue Jane😀😀😀We umeishiwa bando unaanza kulialia. Utopolo mnafeli wapi
CCM ni waonevu na wanafiki sana.We umeishiwa bando unaanza kulialia. Utopolo mnafeli wapi
Mtandao wa voda wapumbavu sana,yaani ukiandika neno chadema au jina lissu,Sms haiendi,ila ukiandika magufuli au ccm inaenda vizuri.Hii mitandao naona imeacha kufanya biashara inafanya siasa kwa sasa,wametudharau sana wateja!!