cmases
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 1,765
- 1,440
Magufuli zinaenda, labda cheki bando lakoUkituma meseji yenye majina ya Tundu au Magufuli, au neno Mchague zote haziendi.
Magufuli zinaenda, labda cheki bando lakoUkituma meseji yenye majina ya Tundu au Magufuli, au neno Mchague zote haziendi.
SMS kwa kutumia WhatsApp sio tatizo ndugu zangu watanzania. SMS za simu za kawaida ambazo sio smart phone haziendi. Na zimekuwa blocked kwa sababu wapiga kura wengi hawana smart phone .Magufuli zinaenda, labda cheki bando lako
Ila ukiandika Tundu Lisu ya single S msg inafika,labda ikiwa double S(Lissu) ndo haiendi
Huna salio unatuzuga hapa! Kamdanganye mkeo!Baada ya kuona twitter nikajaribu binafisi kituma sms ni kweli ukitma sms yenye Tundu Lisu haiendi,
Sikutarajia kama hizi kampuni zitafikie levo hii aiseee, hii ni too far sana, wameingia rasimi kwenye siasa.View attachment 1610076View attachment 1610077
unavosema jamii forum wanajipendeleza una uhakika?? unaijua kesi ilokuwepo mahakaman kati ya serikali na jamii forum ilihusu nn? na ilisababishwa na nn? kama hujui ktu kaa kmya.Nimeona wanajipendekeza bila kujua kuwa shetani hanaga rafiki... Subiri Uchaguzi uishe waone jamaa atakavyo warudi, watajuta kwa kile atakachoifanyia Jamiiforums.
hii ndo point haswaaaMbona ina muda mrefu sana hiyo watu wapo whatsApp nayo itavurugwa siku chache zijazo...makampuni yanatoa hongo ili yasibanwe huko mbele na kuendelea kutoa vifurushi vya kijambazi bila kuhojiwa...
Utakuwa mmojawapo wa vyeti fekiWatanzania wameamua kumkataa Shetani na kazi zake zoooteee. Mbaya zaidi Shetani bado anaendeleza vitisho ili akubalike....
Kwaheri Katili na Mkabila ******** !
Weka bandonacha kelele
Adabu yao Vodacom na Airtel kuisusia mitandao yao na kujiunga kwengine, watu laki moja wakisusa hasara kubwa kwao.
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️