Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
HAZIEEEENDIIII
Zinazokwenda Ni zenye jina Lisu, ukiandika jina Lissu haiendi.Zineanza kwenda naona wamepima upepo wakaona hawawezi uzuia.
Tuliza akili mkuu, usiwe na haraka za kujibu kitu usichokijua.Weka bandonacha kelele
Huna salio kenge wewe.Baada ya kuona twitter nikajaribu binafisi kituma sms ni kweli ukitma sms yenye Tundu Lisu haiendi,
Sikutarajia kama hizi kampuni zitafikie levo hii aiseee, hii ni too far sana, wameingia rasimi kwenye siasa.View attachment 1610076View attachment 1610077
Hata mie nimeona hivyo haziendi za chadema wala ccmHaziendi kwa wote si ccm wala chadema wote zinagoma kwa ACT izinakubali.View attachment 1610158
🤡We umeishiwa bando unaanza kulialia. Utopolo mnafeli wapi
Kweli kabisaIla ukiandika Tundu Lisu ya single S msg inafika,labda ikiwa double S(Lissu) ndo haiendi
Ndio maana huwa nakuambia Weee ni Kajinga .We umeishiwa bando unaanza kulialia. Utopolo mnafeli wapi
Weka double S tuone
We umeishiwa bando unaanza kulialia. Utopolo mnafeli wapi
Umewatumia meseji luku sio
usiandike Tundu Lisu andike Tundu Lissu