Sawa, na nyingine, andika: "Usimchague Magufuli"
Kwa sababu m'badala wake anajulikana, basi ujumbe unakuwa umefika.
YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Hii inaweza ikawa ni sababu tosha ya kuhamia halotelHalotel zinaenda kama kawa
hao wamewaachia kwa sababu hawana coverage kubwa kama vodaHalotel zinaenda kama kawa
Kwanini unapenda Sana kumtumia huyu Mtu ?? Una tuma tuma sana screenshot zake
HahahahaYaani ukiandika tu jina "Tundu Lissu", SMS haiendi. Mi nimeandika "Lissu ni Shoga" haijaenda
wewe weka vocha... tuoneshe ambayo imekubali..
KivurugeWe umeishiwa bando unaanza kulialia. Utopolo mnafeli wapi
Mkuu inaonekana kama anakugusa kwani akimtumia wewe unapungukiwa nini. Ama huwa anakugusa huyo MTU anayemtumia kwa kutuma screenshot zake. Kuanzia saivi namie nitakuwa namtumia huyo jamaa mana unaonekana kumchukia.Kwanini unapenda Sana kumtumia huyu Mtu ?? Una tuma tuma sana screenshot zake
Hayo anayosemaga Mengine unayachunguza ?? Kama hufanyi hivyo nakushauri fanya, Wewe Ni Mtu mzima Sasa
Mahaba yanapozidi huwa ni tatizoKwanini unapenda Sana kumtumia huyu Mtu ?? Una tuma tuma sana screenshot zake
Hayo anayosemaga Mengine unayachunguza ?? Kama hufanyi hivyo nakushauri fanya, Wewe Ni Mtu mzima Sasa
Wameagizwa. Wametii kinyume na matakwa ya "the corporate social responsibility".Baada ya kuona twitter nikajaribu binafisi kituma sms ni kweli ukitma sms yenye Tundu Lisu haiendi,
Sikutarajia kama hizi kampuni zitafikie levo hii aiseee, hii ni too far sana, wameingia rasimi kwenye siasa.View attachment 1610076View attachment 1610077
Tusishangae wakifunga mawasiliano ya mitandao yote ikiwemo JF.Asee hii ni too much