My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,604
- 11,898
Hivi we dogo una akili kweli ?M
Mkuu inaonekana kama anakugusa kwani akimtumia wewe unapungukiwa nini. Ama huwa anakugusa huyo MTU anayemtumia kwa kutuma screenshot zake. Kuanzia saivi namie nitakuwa namtumia huyo jamaa mana unaonekana kumchukia.
Afu sio lazima umfuatilie huyo jamaa kuna Button ya ignore ama block IPO jf.
Yaani inaonekana unamchukia sana huyo MTU. Na wewe chunguza kama huyo MTU asemayo kama si ukweli.
Yani Unataka umtumie kigogo ili unikere Mimi ?
Ni kwamba Unanifatilia sana ?
Leta ushahidi kwamba namchukia
Hilo Swala ni kwa wote JPM na TL Lakini hajachunguza anatuhumu tuu baada ya kigogo kusema na kaleta Screenshot(As usual)....
TEXT HAZIENDI ZOTE SIO JPM WALA TL Lakini Mtu anatuma Screenshot za Uongo hapa