Hili la Vodacom na Airtel ku-block SMS zenye jina Tundu Lissu limekaaje?

Hili la Vodacom na Airtel ku-block SMS zenye jina Tundu Lissu limekaaje?

Nimejaribu kutuma sms kwa Text nikiwa mteja wa Airtel kuhusu uchaguzi nimeprove kweli kuwa haiendi isipo kuwa tu whatsap tu.

Mimi nikiwa mteja kwa kweli nimeshtushwa sana na hiki na kama sasa wamefikia huku sijui tunaelekea wapi Tanzania.........sina hata la kusema.
 
Ndio maendeleo hayo tunayotekeleza kwa kishindo
 
Acheni uzushi nimetumiwa SMS yenye hilo jina sasa hivi kupitia vodacom network.
 
Attachments

  • Screenshot_20201024-224025_Messages.jpg
    Screenshot_20201024-224025_Messages.jpg
    46 KB · Views: 13
Nimeanzisha nyuzi mara 4 kueleza uovu wa Mwovu. JF wamezikalia.

Shame!

Nimeshangaa sana. Kuna majina ya watu maalum yamezuiwa kuanzisha Thread. Wameshapigwa KABALI na TCRA
 
TL is truly powerful. Tumpe kura zetu zote!
Leo nimepita kwenye twita nikakuta bandiko linaloonesha yakua ukituma sms kumuombea kura tundulisu haziendi ila ukiandika magufuli zinaenda, sasa nikajiuliza magufuli kuika huko ameishajua anashidwa, kwann amefika mbali mno, Yaan TISS, Polisi, NEC, vyombo vya habari, mambango Tra n.k sasa ameamia kwenye makampuni ya simu? Eee hii kali ya mwaka.
 
Kuna watu haturuhusiwi hapa kufungua uzi. Zaidi ya mwezi sasa siwezi kufungua uzi hapa. Kweli jamani usiombe udikteta. TL alisema wakimalizana naye, watakuja kwetu...
Nimeshangaa sana. Kuna majina ya watu maalum yamezuiwa kuanzisha Thread. Wameshapigwa KABALI na TCRA
 
Acheni uongo, mm natumia Vodacom na nmetuma na imefika tena kwa haraka
 
Kuna watu haturuhusiwi hapa kufungua uzi. Zaidi ya mwezi sasa siwezi kufungua uzi hapa. Kweli jamani usiombe udikteta. TL alisema wakimalizana naye, watakuja kwetu...

Yaani wale Critical Thinkers wote wamekula Temporary banning. Namuekewa sana Max. Ni survive of the fittest
 
Natoka line Voda na Airtel narudishia halotel na zantel pumbavu zao.
 
Back
Top Bottom