Hili la Vodacom na Airtel ku-block SMS zenye jina Tundu Lissu limekaaje?

Hili la Vodacom na Airtel ku-block SMS zenye jina Tundu Lissu limekaaje?

Baada ya kuona twitter nikajaribu binafisi kituma sms ni kweli ukitma sms yenye Tundu Lisu haiendi,

Sikutarajia kama hizi kampuni zitafikie levo hii aiseee, hii ni too far sana, wameingia rasimi kwenye siasa.View attachment 1610076View attachment 1610077
Nimetoka Chimbo kuchimba ukweli kuhusu tuhuma hizi.
Matokeo ni...
1. John Pombe Joseph Magufuli (sms delivered)
2. Tundu Antipas lissu ( sms not delivered)
3. Mchague John Pombe Joseph Magufuli (sms not delivered)
4. Mchague Tundu Antipas lissu (sms not delivered)
5. Lissu (sms delivered)
6. CCM (sms delivered)
7. CHADEMA (sms delivered)

Hitimisho.

Ukituma jina kamili la mgombea bila kuandika neno 'mchague', Jina la mgombea wa CCM ndio hufanikiwa.
Ila ukiandika neno mchague kwenye jina la mgombea yeyote yule,sms hazifiki sehemu husika.

Mwendo ni uleule #JPM5TENA.
 
Poverty,, Ignorance,, ndio Changamoto zitazotutafuna kwa mda sana ...Tanzania and Africa in general. Kama hatuto zitaftia solution mapema iwezekanavyo..
 
Nimetoka Chimbo kuchimba ukweli kuhusu tuhuma hizi.
Matokeo ni...
1. John Pombe Joseph Magufuli (sms delivered)
2. Tundu Antipas lissu ( sms not delivered)
3. Mchague John Pombe Joseph Magufuli (sms not delivered)
4. Mchague Tundu Antipas lissu (sms not delivered)
5. Lissu (sms delivered)
6. CCM (sms delivered)
7. CHADEMA (sms delivered)

Hitimisho.

Ukituma jina kamili la mgombea bila kuandika neno 'mchague', Jina la mgombea wa CCM ndio hufanikiwa.
Ila ukiandika neno mchague kwenye jina la mgombea yeyote yule,sms hazifiki sehemu husika.

Mwendo ni uleule #JPM5TENA.
IMG_20201024_074835.jpg
 
Hizi ni purukushani za kukata roho hizo za anko Magu
 
Mimi ni mteja wa Vodacom najaribu kumtumia mtu meseji yenye neno Tundu lissu imegoma lakini meseji zingine zinaenda.

Jaribuni na nyie.

Waje watoe ufafanuzi km shida ni Nini je kuna mahusiano na siasa?
ndio tumefika hapa mkuu,hali inatisha
 
Wanasema sms ya LISSU haiendi kisa tunachanganya herufi S kwenye kuandika jina, S inayotakiwa kukaa position ya tatu tunaiweka position ya nne.​
 
Andika John Pombe Magufuli, tuma meseji halafu leta mrejesho
 
Kuweni creative!

Tena walivyofanya hivi, iwe ni chachu kwenu kuwatumia watu wengi meseji za kumchagua Lissu

kwa mfano andikeni
1. T. u. n. d. u L. i. s. s. u
2. Li-ss-u
3. Tndu Lssu

Changanyeni herufi kadri mtakavyoweza muwatumie watu wengi meseji

Tena wajulisheni mnaowatumia kwa nini mmefanya hivyo ili kuwatia hasira zaidi ya kumkataa Ji. we
 
Sawa, na nyingine, andika: "Usimchague Magufuli"

Kwa sababu m'badala wake anajulikana, basi ujumbe unakuwa umefika.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Back
Top Bottom