Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,818
- 8,451
Daah sio haki kuitoa madarakan ccm Ni ngumu.
Ninakuliana na wewe 100% .sms haziendi ukituma kumuombea TL kwa sms. Watanzania tutafakari haraka iwezekanavyo ili kumnusuru TL aweze kupata ushindiKama una vVda jaribu kuandika Tundu Lissu uone kama SMS itaenda
Ata sportpesa nao wanapiga kampeni kwa kutuma meseji za kumchagua Mgombea LumumbaBaada ya kuona twitter nikajaribu binafisi kituma sms ni kweli ukitma sms yenye Tundu Lisu haiendi,
Sikutarajia kama hizi kampuni zitafikie levo hii aiseee, hii ni too far sana, wameingia rasimi kwenye siasa.View attachment 1610076View attachment 1610077
Ukituma meseji yenye majina ya Tundu au Magufuli, au neno Mchague zote haziendi.Ninakuliana na wewe 100% .sms haziendi ukituma kumuombea TL kwa sms. Watanzania tutafakari haraka iwezekanavyo ili kumnusuru TL aweze kupata ushindi
Wewe mwenye bando tuma basiWe umeishiwa bando unaanza kulialia. Utopolo mnafeli wapi
Nimeona wanajipendekeza bila kujua kuwa shetani hanaga rafiki... Subiri Uchaguzi uishe waone jamaa atakavyo warudi, watajuta kwa kile atakachoifanyia Jamiiforums.Jamiiforums na wao naona wanazuia kuandika jina la jiwe, maguful
Wana deal na jina tu na si content yakeNi kweli wamezuia. Hata msg ikiwa ya “kuwafavor” CCM, bado wamezuia😊
View attachment 1610105
Hawajiamini aiseeDah hii sasa hatari,nimejaribu mara tatu zote zimekataa.Nikaandika ccm nikatuma ikaenda.
Mkuu wa malaika aliyekataliwa,tujiandae kwa wizi mkubwa wa kura kuwahi kutokea nchini,ile kauli ya tumetekeleza haina msaada tena wamejua ni kuwapigia kelele tu wananchi.
Kati ya taasisi ambazo hazipo salama JF ni namba moja.Dawa ni tuungane kumng'oa huyu Idd Amini.Huwezi kujipendekeza kwa shetani ukafikiri kuwa utakuwa salamaJamiiforums na wao naona wanazuia kuandika jina la jiwe, maguful
Dah hii sasa hatari,nimejaribu mara tatu zote zimekataa.Nikaandika ccm nikatuma ikaenda.
Mkuu wa malaika aliyekataliwa,tujiandae kwa wizi mkubwa wa kura kuwahi kutokea nchini,ile kauli ya tumetekeleza haina msaada tena wamejua ni kuwapigia kelele tu wananchi.
Yaani ukiandika tu jina "Tundu Lissu", SMS haiendi. Mi nimeandika "Lissu ni Shoga" haijaenda.Ni kweli wamezuia. Hata msg ikiwa ya “kuwafavor” CCM, bado wamezuia[emoji4]
View attachment 1610105
Si limenunua ndege na kujenga midaraja na reli??