Hili la Vodacom na Airtel ku-block SMS zenye jina Tundu Lissu limekaaje?

Kukamilisha ushahidi usiopingika:
Weka ujumbe kwenye message yako wenye maneno "Pombe Magufuli", halafu tuma kama utaenda.

Halafu jaribu kutuma ujumbe mwingine ukiwa na maneno Pombe Magufuli na Tundu Lissu ndani yake, halafu tuma tena tuone kama huo nao utakubalika.

Ukikamilisha kufanya hivyo, utakuwa umepata ushahidi usiopingika.

Naona hata vituo vya televisheni pia vimeanza kukacha kuonyesha mikutano ya Tundu Lissu!
 
Mbona ina muda mrefu sana hiyo watu wapo whatsApp nayo itavurugwa siku chache zijazo...makampuni yanatoa hongo ili yasibanwe huko mbele na kuendelea kutoa vifurushi vya kijambazi bila kuhojiwa...
 
Naona mmegeuka The Wailers hizi siku za mwishoni.

Nakumbuka kulikuwepo campaign ya kuvunja na kutupa line za Vodacom humu!

Mmezitolea wapi tena?

Tumieni codes like,"Mpigie Amsterdam". zitaenda tu.
 
Nimeona wanajipendekeza bila kujua kuwa shetani hanaga rafiki... Subiri Uchaguzi uishe waone jamaa atakavyo warudi, watajuta kwa kile atakachoifanyia Jamiiforums.
unavosema jamii forum wanajipendeleza una uhakika?? unaijua kesi ilokuwepo mahakaman kati ya serikali na jamii forum ilihusu nn? na ilisababishwa na nn? kama hujui ktu kaa kmya.
 
Mbona ina muda mrefu sana hiyo watu wapo whatsApp nayo itavurugwa siku chache zijazo...makampuni yanatoa hongo ili yasibanwe huko mbele na kuendelea kutoa vifurushi vya kijambazi bila kuhojiwa...
hii ndo point haswaaa
 


Mbona kwangu imekwenda?

Au walizuia kwa muda na sasa wameachia?
 
Watanzania wameamua kumkataa Shetani na kazi zake zoooteee. Mbaya zaidi Shetani bado anaendeleza vitisho ili akubalike....

Kwaheri Katili na Mkabila ******** !
Utakuwa mmojawapo wa vyeti feki

Pole
 
Zineanza kwenda naona wamepima upepo wakaona hawawezi uzuia.
 
Its seems ni almost mitandao yote maana nimejaribu tigo nao ni wale wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…