Hili la Vodacom na Airtel ku-block SMS zenye jina Tundu Lissu limekaaje?

Hivi we dogo una akili kweli ?
Yani Unataka umtumie kigogo ili unikere Mimi ?
Ni kwamba Unanifatilia sana ?
Leta ushahidi kwamba namchukia

Hilo Swala ni kwa wote JPM na TL Lakini hajachunguza anatuhumu tuu baada ya kigogo kusema na kaleta Screenshot(As usual)....
TEXT HAZIENDI ZOTE SIO JPM WALA TL Lakini Mtu anatuma Screenshot za Uongo hapa
 
Mimi nadhani haina haja ya kulia lia, tumueni mitandao ya ubeligiji kufikisha ujumbe kwa wafuasi wenu,eboo!
 
Nimekupata bro pamoja sana
 
Kwa iyo bro huwezi kukereka nikimtumia kigogo screenshot zake kweli
 
Huo NI uongo
Mbona mm natumiwa hiZo msg za tundu Lissu na zinaingia kwenye simu yangu
Maana huko mtaani tuna marafiki ambao niwafuasi was tundu
 
Halotel kwenda Vodacom.
Nimetumia Halotel kumtumia sms mtu wa Vodacom, na kinyume chake.
Watakuwa wamefanyia marekebisho tena sio muda mrefu. Kabla ya saa mbili asubuhi zilikuwa haziendi kabisa. Hongera kwa marekebisho. Maana akina Tundu, Lissu sio tu huyo mgombea wapo wengi tu Tanzania na familia au rafiki huandika jumbe za taarifa za uchumi, afya, jamii zao
 
wakizuia jina ..tuma kwa neno mbeba maono..au ni yeye..tuundulisuuu,..njia ziko nyingi sana...
 
Kwa sasa gharama ya kifurushi SMS 10 = TZS500, 1000, au 2000. Chaguo ni lako ujiunge Cha Bei ipi ila idadi ya sms ni 10 haijalishi bei ya kifurishi ulichojiunga. Hiyo ni kwa Tigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…