Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 547
- 183
Ngoja nihakikishe mkuu kama ni kweliHuko tigo hupati sms zaidi ya 10 kwa siku!!
Ndio maendeleo hayo tunayotekeleza kwa kishindoNimejaribu kutuma sms kwa Text nikiwa mteja wa Airtel kuhusu uchaguzi nimeprove kweli kuwa haiendi isipo kuwa tu whatsap tu.
Mimi nikiwa mteja kwa kweli nimeshtushwa sana na hiki na kama sasa wamefikia huku sijui tunaelekea wapi Tanzania.........sina hata la kusema.
Duuh, kweli kabisa SMS 10 kwa 2000Huko tigo hupati sms zaidi ya 10 kwa siku!!
Nimeanzisha nyuzi mara 4 kueleza uovu wa Mwovu. JF wamezikalia.
Shame!
Leo nimepita kwenye twita nikakuta bandiko linaloonesha yakua ukituma sms kumuombea kura tundulisu haziendi ila ukiandika magufuli zinaenda, sasa nikajiuliza magufuli kuika huko ameishajua anashidwa, kwann amefika mbali mno, Yaan TISS, Polisi, NEC, vyombo vya habari, mambango Tra n.k sasa ameamia kwenye makampuni ya simu? Eee hii kali ya mwaka.
Nimeshangaa sana. Kuna majina ya watu maalum yamezuiwa kuanzisha Thread. Wameshapigwa KABALI na TCRA
Kuna watu haturuhusiwi hapa kufungua uzi. Zaidi ya mwezi sasa siwezi kufungua uzi hapa. Kweli jamani usiombe udikteta. TL alisema wakimalizana naye, watakuja kwetu...
Acheni uzushi nimetumiwa SMS yenye hilo jina sasa hivi kupitia vodacom network.
Hakuna cha spelling hapo SMS inasoma kama kawaida.Umekosea spelling
We umeishiwa bando unaanza kulialia. Utopolo mnafeli wapi?
Usitoke mkuu ni taharuki ru hii ila hakuna uhalisia wa kinachosemwa.....watu wanalazimisha kuunganisha dots.Natoka line Voda na Airtel narudishia halotel na zantel pumbavu zao.