Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, wakati Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 limewaliza Watanzania

Hapo ni kulilia ujinga.
Hapo wako sahihi. Kwa udogo wa nchi yao hilo jimbo lenye watu 7000 ni sawa tu na temeke yenye mil. Ukilinganisha ratio ya population ya zanzibara na bara na ukubwa wa eneo.
 
Kabisa, kuna watu wanakurupuka tu kuandika hata hawatumii akili kidogo
 
Kwahiyo Tundu anataka Temeke iongezwe 'majimbo' au sivyo?
 
Zanzibar inatakiwa iongozwe na mwenyekiti wa mtaa tu hamna haja ya kuwa na Rais, mawaziri wala mbunge ukipiga filimbi nchi nzima wanakuskia
🤣🤣🤣 dogo pimbi kweli wewe
 
Hapo ni kulilia ujinga.
Hapo wako sahihi. Kwa udogo wa nchi yao hilo jimbo lenye watu 7000 ni sawa tu na temeke yenye mil. Ukilinganisha ratio ya population ya zanzibara na bara na ukubwa wa eneo.
Kaka kama huoni shida basi jipige kifuani useme mimi shule yangu ni ya kudesa. Kama hauoni shida katika muktadha wa kiuchumi basi una political syndrome unatazama mambo kisiasa. Acha kulitazama kisiasa litazame kiuchumi.
 
Muungano wa aina hii haufai, haufai, haufai.
Mtanganyika yeyote mwenye madaraka anayesapoti aina hii ya muungano basi siku Tanganyika ikirudi hastahili kushika nafasi yeyote ya madaraka hata nafasi ya mtendaji wa mtaa Tanganyika.
 
Kaka kama huoni shida basi jipige kifuani useme mimi shule yangu ni ya kudesa. Kama hauoni shida katika muktadha wa kiuchumi basi una political syndrome unatazama mambo kisiasa. Acha kulitazama kisiasa litazame kiuchumi.
Hawatazami kihasibu.....wanaangalia vyeo tu hawa.
 
Kwa nini unasema 50 wakati Lissu kasema 80?
 
Hapo ni kulilia ujinga.
Hapo wako sahihi. Kwa udogo wa nchi yao hilo jimbo lenye watu 7000 ni sawa tu na temeke yenye mil. Ukilinganisha ratio ya population ya zanzibara na bara na ukubwa wa eneo.
Wewe ndio hujui lolote na unaonesha ulivyo mweupe Tume inatumia Sheria kugawa majimbo na Sheria inaeleza Majimbo yatagawanywa kwa kutegemeana na ukubwa wa Ardhi( eneo)
 
Kwahiyo Tundu anataka Temeke iongezwe 'majimbo' au sivyo?
Fikiri sawa sawa. Wewe huoni kuna umuhimu wa marekrbisho? Mfano, koo mbili zimeungana, moja ina ng'ombe 1000 nyingine 10 sasa wakiuzwa ng'ombe 100 wagawane sawasawa? Ni lazima muundo wa muungano urekebishwe kuwe na serikali 3 kuondoa huu upuuzi, period!
 
Mkuu, majinga na machawa yamejaa mapovu vichwani vigumu kuona tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…