Kwasababu wanaccm wa watanganyika ndio wanashurutisha huo muungano uendelee kuwepo. Yaani kama mwanamke hakutaki na ww ukawa unamlazimisha, ni lazima akupe mashati magumu ya kukukomoa. Mtu yoyote mwenye akili timamu akiamua kufuatilia huu muungano atajua ni uhuni wa wazi.Ni fikiria waliwazanini kufanya hivyo sielewi
Ifike wakati wakae kivyao tuone kama wataweza kuwahudumia hao wabunge 51Zanzibar inatakiwa iongozwe na mwenyekiti wa mtaa tu hamna haja ya kuwa na Rais, mawaziri wala mbunge ukipiga filimbi nchi nzima wanakuskia
Zanzibar wana wabunge 80Wa kuchaguliwa majimbo......wengine wanaongezeka kwa teuzi kutoka baraza la wawakilishi n.k
weka picha kidume kizima kinatoa machoziNimelia sana
HakikaIfike mahali walioko kwenye ngazi za maamuzi waamue kwa maslahi ya Taifa na si vinginevyo.
Uvunjwe haraka huu muungano fakeTanganyika inavyoing'ang'ania zenji ni sawa na mwanaume unakuwa na mchepuko anakupiga mizinga balaa ila hutaki kumuacha huku papuch ulishaila saana ila bado tu unakomaa na maumivu!.
Zanzibar inatakiwa iwe na wabunge wasiozidi watatu na madiwani 15Zanzibar inatakiwa iongozwe na mwenyekiti wa mtaa tu hamna haja ya kuwa na Rais, mawaziri wala mbunge ukipiga filimbi nchi nzima wanakuskia