Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.
Si kweli.

Magufuli hakuwahi kuwapendelea wasukuma, Magu alikuwa na genge lake alilotoka nalo wizara ya ujenzi hasa TANROADS.

Watu wengi wa Magu wa karibu hawakuwa wasukuma. Mfano:
  • Mfugale
  • Kijazi
  • Kabudi
  • Pole pole
  • Bashiru

Sana sana ukiona msukuma ni either anatokea genge la TANROADS/Wizara ya ujenzi au ndugu zake.

Je, Kwenye genge lake kulikuwa na nani kutoka Mara, Simiyu au shinyanga?

Au mnaposema kanda ya ziwa, mnamaanisha ipi ?

Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, na Mara imekuwa ikitoa zana ushirikiano kwa CHADEMA, Mbowe aache huu upuuzi sa kina Kigogo.

Wasukuma tunaishi nao hawana upendeleo wowote na ni watu peace sana na easy going. Wengi ni waathirika wa propaganda za Magu lakini wasukuma hawana ukabila hata kidogo.

PS: Mimi ni Mzanaki wa Musoma.
Ukweli mtupu
 
Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''

Mbowe.,
1.Magu aliajiri?
2.Biashara zilizoathirika ni za wachaga tu?
3.Kipindi wachaga wamejaa nafasi nyeti mlifanya nini ili na wenzenu wapate ama ilikua ni nyie tu ndio mliona mnastahili kula keki ya Taifa?
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Ni kweli?

Credibity zako zinashuka sana (Mbowe). Magufuli alikuwa na mapungufu yake ya kibinadamu. Siyo unavyotaka kutuamisha.

Wasukuma wanasimamia haki, ukweli. Wamesimama kwa Maslahi ya Watanzania wote.

Kanda yote hadi ile Mara, Bukoba ndio engine,
Msuli wa hili taifa.

Labda tuwape Wachagga hii nchi.
Korona fundi. Imetuondolea karaha moja mbaya sana.
 
Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''

Ndugu mm nimeitafuta hiyo video you tube lkn sijaiyona. Samahani naomba uitupie humu Jamii forum Ili tuiyone ndo tutoe mawazo yetu.
 
CHAgga DEvelopment MAnifesto-CHADEMA
I love this na mimi ndo kiongozi wao mtarajiwa wait and see yani Manyara, Arusha na Kilimanjaro zinakuwa nchi alafu sasa tutatumia bandali ya Mombasa au ngoja nimalizie michakato yangu
 
Huyo bwege wenu Mbowe munamuita shujaa kwa nini hakuongea JPM akiwepo? Enzi zake Mtikila hakuwa na longo longo za kipuuzi kama hizi. Tatizo wachaga walitaka waendelee na upendeleo wa kikabila waliojianzishia. TRA, CRDB. Bahati mbaya ubaguzi kwa wachaga wanaamini ni haki yao. Wao wanasema wamesoma sana.
Mbowe unayesema kuwa na kusema wakati wa huyo shujaa feki wenu ni Mbowe yupi? Umesahau alisimama mbele yake akamwambia huyo marehemu wenu?? Anaoza saa hizi
 
Kuna kabila lina ukabila kama wachaga, ilikuwaje wachaga walijazana sana kwenye ajira za baadhi ya mashirika kama TRA......hii ndo inaitwa mkuki kwa nguruwe....kuna mtu alileta hoja hapa wachaga kujazana CRDB wakaja na utetezi kuwa wao ndo wamesoma kozi za uhasibu sijui na biashara
 
  • Thanks
Reactions: mmh
I love this na mimi ndo kiongozi wao mtarajiwa wait and see yani Manyara, Arusha na Kilimanjaro zinakuwa nchi alafu sasa tutatumia bandali ya Mombasa au ngoja nimalizie michakato yangu
Mtaota hadi siku mnaingia Kaburini
Na vile mnaongea wazi mtajua hamjui
 
Mbowe unayesema kuwa na kusema wakati wa huyo shujaa feki wenu ni Mbowe yupi? Umesahau alisimama mbele yake akamwambia huyo marehemu wenu?? Anaoza saa hizi
Sielewi hata unachoandika!Punguza hasira andika upya kama msomi. Tukio gani linampa ushujaa?
Naona jina la Mshana, ni mpare? Unafahamu mbele ya mchaga kama Mbowe wewe ni taka? Yes, taka! Hiyo tabia ya wachaga kiundani, acaha hizo hotuba za kukupa furaha.
 
Hahahaha huwezi kunielewa wala hustahili hata kujibiwa na Mimi kitu; basi tu! Nimejitahidi sana
 
Kwani ccm imetoka madarakani?
images (13).jpeg
ulikua hujui kua watanzania timamu wameikataa CCM hadi ikazima mitandao kwa wiki nzima ili itekeleze uchafu wake?
 
Huyu ni zero brain.

Utashangaa ana wafuasi kweye chama chake alichopewa kama zawadi ya birthday na baba mkwe wake mzee Mtei.

Chadema ni birthday present ya Mtei kwa Mbowe. Ni chama cha wachaga.

Chadema-chagga development manifesto.
Aisee huyu Mbowe ni hatari kwa kweli...what is he smoking?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom