Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
CCM imefika mahali ambapo haijadiliki tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CWT ni Jumuiya ya ccmHuu ni upuuzi harafu wale wanaoitwa viongozi wa walimu wapo.
Nitashangaa kama Walimu wataacha kuandika Bango la huu upuuzi mei mosi.
Kuna genge linajiita Bunge linajilipwa mshahara wa Mwalimu kwa kila mshiriki kwa siku, linaona haya yote lakini halisemi kitu huu ni ukandamizaji wa wwzi kabisaMkurugenzi wa Halmshauri ya Ifakara ameandikia Barua Walimu wa shule kutaka walipe mchango wa kufanikisha shughuli za Mwenge. TAMISEMI mmeagiza Halmshauri kufanya hivi? Huo Mwenge hauna bajeti? Mbona hamna huruma na walimu nchi hii? Barua hii ibatilishwe, fedha zirudishwe kwa walimu.
Mbali na mchango kuna kukesha kwa lazima na huo moto wakiushangilia usiku kucha aliyeondoka na akili zetu sijui ni naniNa hii sio tuu ifakara, Gairo huko DMO anawalazimisha watumishi wa Afya kutoa mchango wa Mwenge, Morogoro DC Mkurugenzi anawalazimisha walimu kutoa michango ya Mwenge na hii inaonekana ni maeneo mengi nchini na sio mwaka huu tu, kila mwaka wakati wa mbio za Mwenge walimu na watumishi wa Umma walio chini ya TAMISEMI wanachangishwa fedha.
Well Analysed...Ktk vitu ambavyo huwa ninasumbuana na msimamizi wangu ni michango ya aina hii....
Yaani vyanzo vyoooooote vya mapato na kodi ambazo watumishi wanakatwa kila mwezi havitoshi mpaka wakamnyang'anye mtumishi hata kile kidogo alichopokea?Bwana nondo inaonekana ujui Mambo next time ukikutana na kitu Cha hivyo Anza kufanya utafiti kwanza usikurupuke kuandika mitandaoni, bajeti ya kukimbiza mwenge katika halmashauri inapagwa na halmashauri serikali kuu haichangii chochote so ni mapato ya ndani katikati halmashauri ni mikakati yenu halmashauri so walimu kuambiwa wachangie si jambo Baya ubaya ni njia iliyotumika kuomba huo mchango walimu wangepewa somoo wakaelewa kwanini wanachangishwa nadhani kusingekuwa na taharuki kiasi hiki, ubaya viongozi uko juu kujiona Wana akili na kuja na mawazo ambayo yanaleta sitofahamu Kama hivi,
Ni ngumu kuelewa ukiwa nje ya maanunuzi na uongozi Ila ukiwa kwenye uongozi, ungejuw kwanini wakurugenzi wanachangisha walimu.Yaani vyanzo vyoooooote vya mapato na kodi ambazo watumishi wanakatwa kila mwezi havitoshi mpaka wakamnyang'anye mtumishi hata kile kidogo alichopokea?
Mwenge wenyewe ni KERO,MNAONGEZA KERO YA KUWACHINGISHA WATU,KERO INAZAA KUKERANA.
Km ni mzigo kwa nini wasikae nao maofisini kwao huko ili watakao hitaji kuushangaa wakachangie?Ni ngumu kuelewa ukiwa nje ya maanunuzi na uongozi Ila ukiwa kwenye uongozi, ungejuw kwanini wakurugenzi wanachangisha walimu.
Hakuna kitu kama hiko, mimi mtumishi wa serikali na sijawahi toa mchango wa mwebge labda mwaka huu nitatoa kwa kumuheshimu na kumuunga mkono DC wetu kwani ni very humble person na sio kuogopa vitisho.Hapo uliposoma ni "HIYARI" si "LAZIMA" ni mtego kwa mtumishi wa umma.Kama wewe si mtumishi wa umma huwezi elewa.
Kama jina lako tu halisi umelificha hayo maamuzi ya Hamza shekhe utayawezaKm ni mzigo kwa nini wasikae nao maofisini kwao huko ili watakao hitaji kuushangaa wakachangie?
Nadhani kuna haja ya mtu km HAMZA YULE ALIYEFANYA YAKE PALE UBALOZI WA UFARANSA AMA YULE JAMAA WA TUNISIA ALIYE JIKOKA MOTO MBELE YA OFISI YA SERIKALI KUTOKEA TENA KTK HILI JAMBO HAPA TANZANIA,HUENDA UJUMBE UKAPOKELEWA NA UNYANYASAJI HUU KUKOMA.
Ni dharahu za namna hiihii hufanya watu wanafanya yanayodhaniwa kuwa hayawezekani.Kama jina lako tu halisi umelificha hayo maamuzi ya Hamza shekhe utayaweza
Hakuna shida.Hakuna kitu kama hiko, mimi mtumishi wa serikali na sijawahi toa mchango wa mwebge labda mwaka huu nitatoa kwa kumuheshimu na kumuunga mkono DC wetu kwani ni very humble person na sio kuogopa vitisho.
Ebu thubutu si una smartphone jirekodi kipande kidogo tu ukikemea Hili suala Kisha ipandishe hapa JF tutakusaidia kushareNi dharahu za namna hiihii hufanya watu wanafanya yanayodhaniwa kuwa hayawezekani.
Na mimi hii ndo principle yangu,nasubiri wakuja kunilazimisha aone matokeo yake.Hakuna kitu kama hiko, mimi mtumishi wa serikali na sijawahi toa mchango wa mwebge labda mwaka huu nitatoa kwa kumuheshimu na kumuunga mkono DC wetu kwani ni very humble person na sio kuogopa vitisho.
Endelea kuota.Ebu thubutu si una smartphone jirekodi kipande kidogo tu ukikemea Hili suala Kisha ipandishe hapa JF tutakusaidia kushare