Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

kufanyiwa wax ni mojawapo ya huduma, kuna watu wanaenda kabisa kusomea hivi vitu.
Mimi Nachukulia ni mojawapo ya huduma ni kama ningeenda hosp n.k

Kwangu mimi haina shida, narudia tena kuna vitu unafanya mimi naweza kuvishangaa sana na kutovifanya , ndiyo maisha yalivyo!! Haimaanishi sababu wewe unafanya dhambi tofauti na yangu basi wewe ni mwema, hapana.
 
Ni mume au hawara?
Sioni namna ya mwanaume wa kawaida kukubali private parts za mkewe zikaonwe na watu wengine kwa namna yoyote ile ,
Nimesema Mume,

Ndiyo kakubali sasa!! Mnataka sasa kuwapangia watu namna ya kuishi na wake zao😂😂
Watu wengine wangapi?? Nafanyiwa na mmoja miaka yote
 
Unataka Raha upate Mwenyewe sawa....tutatubu mbele
 
Aisee tuache utani na hili swala, Mwisho wa siku kipochi manyoya ya huyu mtoto wa kinyarwanda iote chunusi kama majipu....huo ujinga nikisikia itatokea breaking news
 
Acha uwongo kwapa ni elf 10 huko chini 25 Hiyo elf 70 ni wp?
Na hizo bei nilizokutajia Ndio sehemu maarufu kwa hizo kazi sio sehemu local


Sijakukatalia hizo bei zako unazonyolea watu ila nimekuambia ninazojua wengine wanayolea wateja wao
Usikatae usichokijua, fanya utafiti labda mnatofautiana packages
Utakuja kushukuru
 
Aisee tuache utani na hili swala, Mwisho wa siku kipochi manyoya ya huyu mtoto wa kinyarwanda iote chunusi kama majipu....huo ujinga nikisikia itatokea breaking news
Wazungu ngozi zao zipo very sensitive wasipate hayo majipu ndio iwe mwafrika mwamba mgumu[emoji23][emoji23][emoji23]. Hebu acha mtoto apendezeshwe.
 
[emoji23][emoji23] mshamba mwenzako, najaribu kuvuta picha hali inakuaje kwenye manyozi
Sasa ukute kipochi manyoya kiwe na mashavu mapana alafu msitu wakutosha [emoji22][emoji22][emoji22] inabidi upanue shavu la papuchi kidogo ili usibakishe nywele ...... kiukweli sisi watoa huduma wadada huwa wanatupa changamoto sana
 
Kuondoa vinyweleo kabisa hii kitu haina madhara?
 
Inafaa kabisa.
Tena nawajua wanaume ambao wame get rid ya ndevu zao kabisa. Hauwezi kuwakuta wana dalili ya nduvu kabisa.
Unajua mm ni mtu mwenye ndevu nyingi ss huwa nanyoa style ya O ss huku kwenye mashavu kunakuwa kaweusi fulani hivi so naona nikiwa nafanya hii wax tena ikiwezekana hio ya kienyeji itanifaa zaid,kama hutojali tunaweza kuongea pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…