igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Duuh kumbe?Yanafanyika bongo hii hiii
Kunyoa makwapa kuanzia elfu 20
Kunyoa kipochimanyoya kuanzia elfu 70
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh kumbe?Yanafanyika bongo hii hiii
Kunyoa makwapa kuanzia elfu 20
Kunyoa kipochimanyoya kuanzia elfu 70
wakati wa unyago mixer kusuguliwa na machicha ya nazi mwali akitoka hapo laaainiHalafu sio uzungu, bibi yangu aliniambia zamani kabla binti hajapelekwa kwa mume, anafanyiwa wax mwili mzima anapelekwa mwa mume akiwa soft. Kwahiyo ni tamaduni tu.
Hii ilikuwa ni special kwa watoto waliofikia pubety,Zamani kuna makabila kama wazaramo, wamama walikua wanatumia majivu yenye moto kumnyoa mwanamke aliepevuka ili ma**zi yasiote.
Hakuna mtu anayetaka kukupangia mama , by the way huu ni mjadala tuNimesema Mume,
Ndiyo kakubali sasa!! Mnataka sasa kuwapangia watu namna ya kuishi na wake zao😂😂
Watu wengine wangapi?? Nafanyiwa na mmoja miaka yote
Hakuna mtu anayetaka kukupangia mama , by the way huu ni mjadala tu
Nilikuwa nasema watu wengine ni kimaanisha kuwa as it is a service , automatically you would love to have the best one, kama vile walevi wanavyohama baa , utataka upate salon that offer you the value of your money
Hiyo salon unayokwenda leo kufanya waxing leo , kesho inaeza kutokea nyingine bora kuliko hiyo , ukajikuta unahamia huko kwa huduma , huoni kuwa over a certain period hizo private parts zako zitakuwa zimeonwa na watu kadhaa ?
Ukweli ndio. JF ni kakijiwe kakinafiki.wakati huko Masaloon wamejaa wanafanya wax[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kitu ya wax ilinichanganya kidogo jana, kiasikwamba nikajaribu kudodosa hapa napale japo kupata dondoo kwa jamaa zangu!! siunajua ushaba ni kafurushi au mzigo, wakwanza nilieongeanae akasema oohoo wateja wapo sana wapili ndio akanirudisha nyuma kabisaaaa!Akaniambia ofisi hizo zipo na wahudumu ni mchanganyiko yaani wanawake na wanaume[emoji15] heee! namteja akifika kama ni mwanamke au mwanamme anahudumiwa na muhudumu yeyote aliopo sio lazima jonsia moja [emoji83][emoji83] hakiyanani TUFWILE NYAMBALAA.
Ndio raha ya kitumbua sasaUkinyoa nywele inakuwa thicker, na inaota kesho yake na inatoboa toboa.
Hongera sana kwa kuwa na bibi mzungu😂 mi nilijua zamani muhim ilikuwa bikraHalafu sio uzungu, bibi yangu aliniambia zamani kabla binti hajapelekwa kwa mume, anafanyiwa wax mwili mzima anapelekwa mwa mume akiwa soft. Kwahiyo ni tamaduni tu.
Nitumie pm.Sasa kumbe wewe umenielewa. Ningekuwa naweza ningepost picha yake hapa tukiwa swimming last week na vinyweleo vyake mikononi na juu ya kitovu. Sipendi
Dah nyie watu mnakoelekea soon hii Dunia itapigwa rungu na Muumba...Una moyo mimi hiyo ya nta ambayo ubandui na kitambaa siwezi hata kwa hela inauma mnooo.
Hiyo ya kupaka halafu unaibandua na zile karatasi zake ile naona haiumi dakika 20 tu kamaliza
Hii ipo hapa Bongo kuna demu mmoja aliniambia anafanya kazi hiyo nika mdadisi zaidi nikajua ni malaya tu, na mbaya zaidi alisema kuwa wanaume wengi wanaoenda kule pia wanataka na huduma ya kusagwa