Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Halafu sio uzungu, bibi yangu aliniambia zamani kabla binti hajapelekwa kwa mume, anafanyiwa wax mwili mzima anapelekwa mwa mume akiwa soft. Kwahiyo ni tamaduni tu.
wakati wa unyago mixer kusuguliwa na machicha ya nazi mwali akitoka hapo laaaini
 
Nimesema Mume,

Ndiyo kakubali sasa!! Mnataka sasa kuwapangia watu namna ya kuishi na wake zao😂😂
Watu wengine wangapi?? Nafanyiwa na mmoja miaka yote
Hakuna mtu anayetaka kukupangia mama , by the way huu ni mjadala tu

Nilikuwa nasema watu wengine ni kimaanisha kuwa as it is a service , automatically you would love to have the best one, kama vile walevi wanavyohama baa , utataka upate salon that offer you the value of your money.

Hiyo salon unayokwenda leo kufanya waxing leo , kesho inaeza kutokea nyingine bora kuliko hiyo , ukajikuta unahamia huko kwa huduma , huoni kuwa over a certain period hizo private parts zako zitakuwa zimeonwa na watu kadhaa ?
 
Hakuna mtu anayetaka kukupangia mama , by the way huu ni mjadala tu
Nilikuwa nasema watu wengine ni kimaanisha kuwa as it is a service , automatically you would love to have the best one, kama vile walevi wanavyohama baa , utataka upate salon that offer you the value of your money
Hiyo salon unayokwenda leo kufanya waxing leo , kesho inaeza kutokea nyingine bora kuliko hiyo , ukajikuta unahamia huko kwa huduma , huoni kuwa over a certain period hizo private parts zako zitakuwa zimeonwa na watu kadhaa ?

Zipo bora zaidi ya hiyo ninayoenda ila bado ninaenda kwake mwaka wa 5 huu, sitegemei kumuhama labda ahame Nchi au afariki ( Mungu aepushie mbali ).

Wanawake wengi tu wanafanya labda hamjui , huko kwenye hizo huduma siku za weekend unakuta foleni ndefu tu.

Na ukiwauliza baadhi ya wanawake wasiofanya ni wanaona aibu na wengine wanaogopa maumivu ila wanatamani sana kuwax.
 
Hii kitu ya wax ilinichanganya kidogo jana, kiasikwamba nikajatibu kudodosa hapa napale japo kupata dondoo kwa jamaa zangu!! siunajua ushaba ni kafurushi au mzigo, wakeanza nilieongeanae akasema oohoo wateja wapo sana wapili ndio akanirudisha nyuma kabisaaaa!

Akaniambia ofisi hizo zipo na wahudumu ni mchanganyiko yaani wanawake na wanaume[emoji15] heee! namteja akifika kama ni mwanamke au mwanamme anahudumiwa na muhudumu yeyote aliopo sio lazima jonsia moja [emoji83][emoji83] hakiyanani TUFWILE NYAMBALAA.
 
Hii kitu ya wax ilinichanganya kidogo jana, kiasikwamba nikajaribu kudodosa hapa napale japo kupata dondoo kwa jamaa zangu!! siunajua ushaba ni kafurushi au mzigo, wakwanza nilieongeanae akasema oohoo wateja wapo sana wapili ndio akanirudisha nyuma kabisaaaa!Akaniambia ofisi hizo zipo na wahudumu ni mchanganyiko yaani wanawake na wanaume[emoji15] heee! namteja akifika kama ni mwanamke au mwanamme anahudumiwa na muhudumu yeyote aliopo sio lazima jonsia moja [emoji83][emoji83] hakiyanani TUFWILE NYAMBALAA.
 
Halafu sio uzungu, bibi yangu aliniambia zamani kabla binti hajapelekwa kwa mume, anafanyiwa wax mwili mzima anapelekwa mwa mume akiwa soft. Kwahiyo ni tamaduni tu.
Hongera sana kwa kuwa na bibi mzungu😂 mi nilijua zamani muhim ilikuwa bikra
 
Una moyo mimi hiyo ya nta ambayo ubandui na kitambaa siwezi hata kwa hela inauma mnooo.

Hiyo ya kupaka halafu unaibandua na zile karatasi zake ile naona haiumi dakika 20 tu kamaliza
Dah nyie watu mnakoelekea soon hii Dunia itapigwa rungu na Muumba...
 
Dah nyie watu mnakoelekea soon hii Dunia itapigwa rungu na Muumba...

Ilipigwa wakati wa gharika
Ikapugwa wakati wa sodoma
Sasa itapigwa kipigo cha yule rpc🤣🤣
 
Wanawake mfanye yote lakin muache kunyoa kipara kwny bustan. Tunakosa cha kuchezea! Mtu anapiga para utadhan kichwa cha mh wa kisambaa!
Na kuliko kufanyiwa waxing kila mara bora uende cloud 9 clinic utumie teknolojia ya laser hair removal zikufe milele.
Lakin bakiza hata ka kiduku.
mjue zina raha yake!
Wenzenu tunapenda zaid mionekano ya kuku wa kienyeji. Hamjui tu.
 
Hii ipo hapa Bongo kuna demu mmoja aliniambia anafanya kazi hiyo nika mdadisi zaidi nikajua ni malaya tu, na mbaya zaidi alisema kuwa wanaume wengi wanaoenda kule pia wanataka na huduma ya kusagwa
 
Hii ipo hapa Bongo kuna demu mmoja aliniambia anafanya kazi hiyo nika mdadisi zaidi nikajua ni malaya tu, na mbaya zaidi alisema kuwa wanaume wengi wanaoenda kule pia wanataka na huduma ya kusagwa

Eeeeeeh😐😐😐😐😐
Hudama ya nini vile
 
Sehemu za Siri gani tena hizo zinazowekwa Public....

Usiri gani tena..??
 
Back
Top Bottom