Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

Mange na makamba na mwamvita ni timu ya kufa na kuzikana


Mange hajawahi kumtukana makamba

Akili ndogo nyie
 
Mange na makamba na mwamvita ni timu ya kufa na kuzikana


Mange hajawahi kumtukana makamba

Akili ndogo nyie
Umeanza kufuatilia haya mambo juzi huenda awamu hii au iliyopita au una kumbukumbu ndogo. Hakuna mtu amemtukana January kama Mange hasa kipindi cha Kikwete hasa baada ya kupitisha sheria mpya ay vyombo vya habari kabla ya uchaguzi. Kumbukumbu zenu fupi sana aisee.
 
Wewe elewa kuwa mange,mwamvita na uyo ndugu makamba ni pete na kidole

Na ndio waliomshawishi aje agomgee ubunge


 
Wewe elewa kuwa mange,mwamvita na uyo ndugu makamba ni pete na kidole

Na ndio waliomshawishi aje agomgee ubunge
Yani una lazimisha kitu ambacho hata ushahidi huna na hata connection haipo. Inakufurahisha kutengeneza conspiracy amabyo haina supporting evidence. Kwanza umebisha kuwa hajawahi mtukana. Nikakukumbusha huenda si ajabu ulikuwa bado hujajua mitandao hukuwa unajua... Ungesema labda anamtuma amtukane mwigulu at least ingemake sense maana walau wanaweza kuja wote kuchukua form za urais 2030 lakini si Mama Samia maana hawezi shindana naye awamu hii ushaambiwa anayechukua fomu ni mmoja lazima amalize awamu zake.
 
Watu wanawaza 2025 wewe unawaza 2030 we ni eidha ni mjinga au ndio nyie proxy wa February mnatetea mkate wenu
 
Watu wanawaza 2025 wewe unawaza 2030 we ni eidha ni mjinga au ndio nyie proxy wa February mnatetea mkate wenu
Wewe ndiye mjinga wa mwisho. Ni mjinga anayeweza kudhani hii mieizi iliyobaki kuna atakaye mpindua samia apeperushe bendera ya CCM. Ndiyo maana nakwambia unaongea conspiracy. January sio mjinga awaze anaweza kuwa rais kabla ya huyu mama kumaliza awamu zake, hata mwigulu hawezi waza hilo. Hizo ni fikra zako wewe mwenyewe na hao watu wako mnajaribu connect dots ambazo hata ushahidi hamna.
 
Uhuru wa kutukana mtu haupo ,kwavyovyote vile hata sisi tusio ipenda ccm haiwezi kuwa jambo zuri kutukanwa na kumdharirisha mwanamke tena rais wa nchi vile .

Na mbo haya hayajaanza leo kama mnakumbuka kipindi cha uchaguzi mkuu 2015 kulivulumishwa matusi makubwa dhiidi ya Lowassa kutoka kambi ya vijana wa ccm na serikali na polisi kunyamazia.

Kama nchi ichukue hatua ya kuwekeza katika maadili ya watoto,vijana na taifa kwa ujumla
 
Hapo January anaingia kwa sababu ni Waziri wa mambo ya nje.
 
Alitukanwa na kuchwapa vikoko Yesu kristo sembuse SAMIA ? Hii nchi ina idadi kubwa sana ya wapumbavu.

Ndio maana Nelson Mandela alisema "ni vema viongozi wajao wa Afrika kuwa na akili na uthubutu,kuliko wao walio pigania uhuru"
Wapumbavu ni wale ambao wanatakiwa kwenda mbele wao wanarudi nyuma na wanaotakiwa kurudi nyuma wanakwenda mbele.
 
Wao, wametudhalilisha kwa, kutufanya maskini kwa, kuibq pesa zetu, kwanini tusiwatukane?
Kuwatukana hakuwasaidii kitu. Amueni kuingia mtaani au kugoma. Unapomtukana mtu ni wewe unayejidhalilisha. Na matusi hayaui. Fanyieni kazi hoja.
 
Watu wanawaza 2025

Acha kuwa mjinga
 
Watu wanawaza 2025

Acha kuwa mjinga
Mjinga ni wewe ambaye unadhani kuna mjinga yeyote ambaye ni mteule wa Samia anaweza kudhubutu kuchukua fomu kumchallenge wakati akijua fika lazima Samia amalize vipindi viwili. Hizo ni fikra zako mwenyewe na fomu washasema inatoka moja.
 
Anatumiwa na wanasiasa hao hao.
 
Anatumiwa na wanasiasa hao hao.
So, wakati anamtukana Lowassa alikuwa anatumwa na CCM. Inawezekana maana aliwahi kusema alipoanza kuigeuka serikali ya JPM Nape alimtafuta na kumuuliza shida ni nini au anataka nini aendelee kuwaunga mkono, wakati huo bado nape alikuwa hajatumbuliwa na JPM, bado hawajapishana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…