mycall
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 866
- 519
Yeye ndo haifai wizaraWizara haimfai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndo haifai wizaraWizara haimfai
Alitaka kumuona ChirwaAnakasirika wakati hata uwanjani hajalipa kiingilio.. je hiyo mechi ilikuwa ya kugombea kitu gani??
Kuna point hapo mkuuAu alikuwa na nia atuumizie wachezaji wetu ili simba achukue ubingwa?
Nasikia mmerudishiwa point 3?VYURATEL FC ni CCM Nani asiyejua??
Kawekwa pale ili ajipatie mkate wake wa kila sikuInamana yeye hawavijana hawamuhusu
Kamanda sipati picha jinsi unavyovaa magunia ya kijani na njano huko Uvyuratelin??Nasikia mmerudishiwa point 3?![]()
Sijui anajisikiaje kuanzia ile issue ya vyeti vya kuzaliwa kabla ya ndoaHuyu Mwakyembe ana stress na alipangwa hii wizara makusudi ili awe frustrated kama hivi.
Teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh mkuu kipendacho roho hasa kwenye michezoKamanda sipati picha jinsi unavyovaa magunia ya kijani na njano huko Uvyuratelin??