Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
mwakyembe ameanza lini kupenda mpira jamani kwanza awezi ipangia Club yetu sisi tunawaza ubingwa bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo waziri akili zake aliziacha pale fakati ya sheria Mlimani akaenda kufanya ujinga siku ujinga ukimwisha atazipitia tena azichukue akili zake.Hili linathibishwa na kamsemo ka akili ni nywele na yeye zilinyonyoka zoteJana waziri Mwakyembe alilazimika kutoka uwanjani ( Jamhuri stadium Dodoma ) kwa hasira kisa YANGA wamepeleka uwanjani kikosi cha pili ili kucheza mechi ya kirafiki na kimbaini ya timu ya vikosi vya ulinzi,ameongea maneno mengi kwa hasira hadi watu wanashangaa na akasahau kuwa yanga inakabiliwa na mashindano makubwa ikiwemo jumapili dhidi ya mbao fc.
Mkuu umenichekesha sanaHuyo waziri akili zake aliziacha pale fakati ya sheria Mlimani akaenda kufanya ujinga siku ujinga ukimwisha atazipitia tena azichukue akili zake.Hili linathibishwa na kamsemo ka akili ni nywele na yeye zilinyonyoka zote
Endelea kucheka mkuuMkuu umenichekesha sana
Wasalimie MulebaEndelea kucheka mkuu