Hili la Waziri husika kuhoji Yanga Kupeleka kikosi B Dodoma ni Sawa??

Hili la Waziri husika kuhoji Yanga Kupeleka kikosi B Dodoma ni Sawa??

Analipia nn ? Hajui wana ligi inaenda ukingoni ! Waziri yupi .isijekua ni yule wa sanaa.
 
Mwakyembe akalime mpunga tu huko kyela kwanza kupita ubunge alipita kimagumashi!
 
Jana waziri Mwakyembe alilazimika kutoka uwanjani ( Jamhuri stadium Dodoma ) kwa hasira kisa YANGA wamepeleka uwanjani kikosi cha pili ili kucheza mechi ya kirafiki na kimbaini ya timu ya vikosi vya ulinzi,ameongea maneno mengi kwa hasira hadi watu wanashangaa na akasahau kuwa yanga inakabiliwa na mashindano makubwa ikiwemo jumapili dhidi ya mbao fc.
Huyo waziri akili zake aliziacha pale fakati ya sheria Mlimani akaenda kufanya ujinga siku ujinga ukimwisha atazipitia tena azichukue akili zake.Hili linathibishwa na kamsemo ka akili ni nywele na yeye zilinyonyoka zote
 
Mkuu umenichekesha sana
 
Hao madogo wangefungwa 10 alikuwa ana hoja sasa madogo wamepiga kabumbu maafande ulimi nje.
 
Back
Top Bottom