Hili la Waziri husika kuhoji Yanga Kupeleka kikosi B Dodoma ni Sawa??

Hili la Waziri husika kuhoji Yanga Kupeleka kikosi B Dodoma ni Sawa??

Mbona hakuchukia mwenyekiti wetu kudhalilishwa kijamii na kiuchumi hadi kupelekea ukata uloighairimu timu mafanikio ya Africa champions league na Confederation?! Bado tuna machungu mengi wasitutoneshe vidonda...

Ndugai juzi nae katupiga madongo eti tumepigwa NNE hadi tukapoteana!!
Watuache na Yanga Yetu waendelee na mikakati yao ya point za mezani
 
Wanasema akili ni nywele sasa kama nywele zilitoka inakuaje hapo....
 
Analalamika kwa kupelekewa kikosi B...???
Siku nyingine tutampelekea kikosi CHEEEEEE..............(Kikosi- C).
 
Kwanini asitokwe povu pale Taifa stars ilipocheza na Botswana... Kwani hakujua kwamba Botswana ilileta vitoto C... Hajui majukumu yake na ndio maana anaingia kwenye press conference asizoalikwa.
 
VYURATEL FC ni CCM Nani asiyejua??
Nasikia mmerudishiwa point 3?
778eb5b2bc5b964e00d21dddeb71a03e.jpg
 
Huyu Mwakyembe ana stress na alipangwa hii wizara makusudi ili awe frustrated kama hivi.
 
Back
Top Bottom