Hili la Yanga kupokea Sh.1,300 kati ya Sh.35,000 ya jezi, linatia uchungu sana

Hili la Yanga kupokea Sh.1,300 kati ya Sh.35,000 ya jezi, linatia uchungu sana

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20220705-125645_Chrome.jpg

Huu ni unyonyaji
 
Ikija misukule itaanza kukutukana matusi na kuanza kutaja makombe yao

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
mambo ya pesa hayana umuhimu sana kama wachezaji hawalalamiki wanajaza makombe tu kabatini na wanamchinja mnyama Simba! hela ziende tu huko GSM burudani na raha ndo tubaki navyo mashabiki.

hakuna mwekezaji anaekuja kutafuta biashara yenye hasara

makombe kwanza pesa baadae! makombe huleta pesa!!
 
Nina waonea huruma zaidi GSM:-

Wanalipa Mishahara.

Wanalipa ada za usajili.

Wanasimamia shughuli za uendeshaji wa klabu ya yanga sc bila malipo yeyote.

Nadhani mwisho wa siku tukipiga hesabu utakuta GSM amepoteza zaidi kuliko YANGA
 
mambo ya pesa hayana umuhimu sana kama wachezaji hawalalamiki wanajaza makombe tu kabatini na wanamchinja mnyama Simba! hela ziende tu huko GSM burudani na raha ndo tubaki navyo mashabiki...

Mleta mada amesahau kusema kuwa Faida anayoipata GSM kwenye jezi anatumia:-

1. Kulipa mishahara wachezaji

2. Kusajili wachezaji wapya

3. Kuhudumia timu kwa Ujumla
 
Tulieni si mnamtaka Morison tumeshamleta je mnajua gharama zake? Mayele mnajua gharama zake, Ubingwa tushawapa mnajua gharama zake?

ndo hizi sasa..
 
Nina waonea huruma zaidi GSM:-

Wanalipa Mishahara...
Mkuu binafsi sitaki kuingilia suala la mauzo ya jezi hilo ni makubaliano yao tu. Lakini napinga kuwa GSM anaweza kuwa ndo anapoteza.

Kumbuka GSM ni mdhamini wa klabu anatumia brand ya klabu kutangaza bidhaa zake sawa tu na wadhamini wengine kama nbc wanavyodhamini ligi au sportpesa anavyozidhamini simba na yanga.

Udhamini unalipa zaidi so GSM ananufaika kwa njia hiyo hayo ya jezi ni mengine
 
Maisha Yana Siri kubwa sana.... Wewe ukiwaza Y wenzio wapo Z
 
Fanya analysis ya kina tujue ni kwanini kuna unyonyaji. Kama kuna malipo nje ya hiyo hela ianayoenda Yanga unayahesabu vipi?

Tujenge utamaduni wa kufanya uchambuzi wa kuna wa jambo lolote kabla ya kuongea. Vipi kuhusu Mo kupewa 49% ownership ya klabu nzima ya Simba for only Tsh 20bn?
 
Nina waonea huruma zaidi GSM:-

Wanalipa Mishahara.

Wanalipa ada za usajili.

Wanasimamia shughuli za uendeshaji wa klabu ya yanga sc bila malipo yeyote.

Nadhani mwisho wa siku tukipiga hesabu utakuta GSM amepoteza zaidi kuliko YANGA
Yanga hana cha kupoteza ikiwa wanachama na washabiki wenyewe hata kutoa buku kuichangia timu yao wanaona jambo la hatari kwao. Waacheni wawekezaji wafanye kazi zao,kama makombe yapo na furaha imerejea poa tu.
 
Ajabu kila wakishtuliwa usingizini wanaulizia 20B za Mo.
 
Back
Top Bottom