Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Kwani Mikataba mingine ya Yanga na makampuni mengine haiingizi pesa? Kama zinaingia kazi yake ni ipi ikiwa pesa za GSM tu ndizo zinaendesha timu?Mleta mada amesahau kusema kuwa Faida anayoipata GSM kwenye jezi anatumia:-
1. Kulipa mishahara wachezaji
2. Kusajili wachezaji wapya
3. Kuhudumia timu kwa Ujumla
Unawastuwa usingizini wakiamka wana mataji yote matatu, ni kichaa tu ndio anaweza kukuelewa.Ajabu kila wakishtuliwa usingizini wanaulizia 20B za Mo.
Malizaneni na ponjoro wenu Mwamedi mambo ya Yanga hayawahusu.Kwani Mikataba mingine ya Yanga na makampuni mengine haiingizi pesa? Kama zinaingia kazi yake ni ipi ikiwa pesa za GSM tu ndizo zinaendesha timu?
Zile jezi ambazo azitoki(azijanunuliwa hasara anapata nani?) Maana kwenye pesa hiyo mtaji wa Yanga ni jina tuView attachment 2281734
Huu ni unyonyaji
Sawa unasema makombe huleta pesa, hilo hakuna anaebisha. Je hizo pesa zinakwenda wapi?mambo ya pesa hayana umuhimu sana kama wachezaji hawalalamiki wanajaza makombe tu kabatini na wanamchinja mnyama Simba! hela ziende tu huko GSM burudani na raha ndo tubaki navyo mashabiki.
hakuna mwekezaji anaekuja kutafuta biashara yenye hasara
makombe kwanza pesa baadae! makombe huleta pesa!!
Kana kwamba msimu uliopita Simba Sc hakuyachukua hayo matatu?Unawastuwa usingizini wakiamka wana mataji yote matatu, ni kichaa tu ndio anaweza kukuelewa.
Mkuu binafsi sitaki kuingilia suala la mauzo ya jezi hilo ni makubaliano yao tu. Lakini napinga kuwa GSM anaweza kuwa ndo anapoteza.
Kumbuka GSM ni mdhamini wa klabu anatumia brand ya klabu kutangaza bidhaa zake sawa tu na wadhamini wengine kama nbc wanavyodhamini ligi au sportpesa anavyozidhamini simba na yanga.
Udhamini unalipa zaidi so GSM ananufaika kwa njia hiyo hayo ya jezi ni mengine
Kwani Mikataba mingine ya Yanga na makampuni mengine haiingizi pesa? Kama zinaingia kazi yake ni ipi ikiwa pesa za GSM tu ndizo zinaendesha timu?
Umesahau kuwa anauza magodoro kupitia jina la yangaMleta mada amesahau kusema kuwa Faida anayoipata GSM kwenye jezi anatumia:-
1. Kulipa mishahara wachezaji
2. Kusajili wachezaji wapya
3. Kuhudumia timu kwa Ujumla
Hujui biashara gsm anauza sana magodoro yake kupitia yangaPesa zinazo ptikana kutokana na Mikataba ni ndogo sana ukilinganisha overall expenses za klabu.
Kama tungetegemea hizo pekee basi leo hii Yanga wasingeweza kucover salary payments za kila mwisho wa mwezi
Mapato ya klabu pekee hayafikii hata asilimia 49 ya jumla ya gharama zitumikazo kuendesha klabu.
Na ndio maana Eng Hersi aliwahi kusema kuwa klabu kwa sasa inajiendesha kwa hasara.