Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ki africa Al hilal ni kubwa kuliko Yangaa !! Mimi ni mwananchi lakini hapo sawa tu ! Tutawapiga watatokaMimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?
Mbona wenzetu simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? [emoji25][emoji25]
View attachment 2361757
Karia atakuwa anahusika masta...tumpe lawama zake🤣🤣Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?
Mbona wenzetu simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? 😪😪
View attachment 2361757
Mbona mnalialia kwani nyie mmejipangaje......Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?
Mbona wenzetu simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? [emoji25][emoji25]
View attachment 2361757
Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?
Mbona wenzetu simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? [emoji25][emoji25]
View attachment 2361757
Wacha kumshambulia kwa mawe mwa Yanga mwenzakoHivi hujionei aibu mwanaume mzima wanaYanga wametulia unakuja hapa unajifanya mwanaYanga ili mradi tu watukanwe. Nyie jamaa ndio maana huwa mnapenda kujiliza liza sana mnatafuta tu sababu ili mradi kuonesha Umbumbumbu.
Aya tushajua we Mbumbumbu
Hapana....TFF inaihujumu YAnga... Karia anahusika moja kwa mojaKi africa Al hilal ni kubwa kuliko Yangaa !! Mimi ni mwananchi lakini hapo sawa tu ! Tutawapiga watatoka
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
simb
Muulizeni KariaMbona wenzetu simba
Utopolo wote wangekuwa na mawazo kama yako mngefika mbali kwenye hii michauano ya CAFShukrani huleta maongezeko. Manung'uniko yatatuletea mikosi.
Mkuu acha timu ijipange, malalamiko tupo kuleee!
Kuanzia home hakuna ubaya..Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?
Mbona wenzetu simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? [emoji25][emoji25]
View attachment 2361757
Wa upande wa kushoto wpte hapo wanatoka. Amini kwamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?
Mbona wenzetu simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? [emoji25][emoji25]
View attachment 2361757