Hili la Yanga SC kuanzia nyumbani kila mwaka kwenye CAF Champions League ni uonevu

Hili la Yanga SC kuanzia nyumbani kila mwaka kwenye CAF Champions League ni uonevu

Kuanzia home hakuna ubaya..

Na hakuna guarantee kua ukianzia home ndio lazima utoke.

Jwaneng galaxy alianzia home akamtoa Simba.

Kaizer chief alianzia nyumbani akamtoa simba..

UD SONGO alianzia nyumbani akamtoa simba..

Tuwe na subira Makolo,Muda ni mwalimu mzuri sana maana hata Pre season ya Yanga mliiponda Lakini mwisho wa siku ikawa hivi.

[emoji116]View attachment 2361862
Simba alienda pre season kwasababu ya Caf champions league na sio kwa ajili ya utopolo kenge ww.
 
Yanga mwaka huu tumepewa vibonde angalia Timu za Nigeria huko zote wamepewa Wydady na ndugu zake hao Wasudani wa kawaida sana sema wana fitina za waarabu weusi inachotakiwa mechi ya nyumbani kushinda goli nyingi...
Muhimu hapa nyumbani asiruhusu kufungwa hata goli moja.
 
Simba alienda pre season kwasababu ya Caf champions league na sio kwa ajili ya utopolo kenge ww.
Hii sio hoja bali vioja unless uwe haujui maana ya pre season kiufundi.
 
Hivi nyie jamaa mbona mna u kike sana tangu jana mnakuja na threads za kijinga jinga issue ya Yanga kwenda first round imewauma sana hakuna mwana Yanga yoyote alie lalamika kuanzia nyumbani sasa hivi mmegeuka kuwa wana Yanga
Mkuu hawa jamaa wanazidi kuthitisha umbumbumbu wao. Wenyewe hatuna shobo ila wao sasa kutwa kutuanzishia thread huku wakijifanya wao ndio sisi
 
Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?

Mbona wenzetu Simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? [emoji25][emoji25]

View attachment 2361757
Cha kushangaza mkiitwa mbumbumbu, eti mnakasirika!
 
Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?

Mbona wenzetu Simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? [emoji25][emoji25]

View attachment 2361757
Yanga na zalan nani alianzia geto kwake?
 
Kuanzia home hakuna ubaya..

Na hakuna guarantee kua ukianzia home ndio lazima utoke.

Jwaneng galaxy alianzia home akamtoa Simba.

Kaizer chief alianzia nyumbani akamtoa simba..

UD SONGO alianzia nyumbani akamtoa simba..

Tuwe na subira Makolo,Muda ni mwalimu mzuri sana maana hata Pre season ya Yanga mliiponda Lakini mwisho wa siku ikawa hivi.

[emoji116]View attachment 2361862
Niwemkweli huyo jamaa alipata bahasha ya kaki toka GSM, hiyo game toka kipindi cha kwanza alitaka kujipatisha kadi nyekundu
 
Back
Top Bottom