Hili la Yanga SC kuanzia nyumbani kila mwaka kwenye CAF Champions League ni uonevu

Simba alienda pre season kwasababu ya Caf champions league na sio kwa ajili ya utopolo kenge ww.
 
Yanga mwaka huu tumepewa vibonde angalia Timu za Nigeria huko zote wamepewa Wydady na ndugu zake hao Wasudani wa kawaida sana sema wana fitina za waarabu weusi inachotakiwa mechi ya nyumbani kushinda goli nyingi...
Muhimu hapa nyumbani asiruhusu kufungwa hata goli moja.
 
Simba alienda pre season kwasababu ya Caf champions league na sio kwa ajili ya utopolo kenge ww.
Hii sio hoja bali vioja unless uwe haujui maana ya pre season kiufundi.
 
Hivi nyie jamaa mbona mna u kike sana tangu jana mnakuja na threads za kijinga jinga issue ya Yanga kwenda first round imewauma sana hakuna mwana Yanga yoyote alie lalamika kuanzia nyumbani sasa hivi mmegeuka kuwa wana Yanga
Mkuu hawa jamaa wanazidi kuthitisha umbumbumbu wao. Wenyewe hatuna shobo ila wao sasa kutwa kutuanzishia thread huku wakijifanya wao ndio sisi
 
Cha kushangaza mkiitwa mbumbumbu, eti mnakasirika!
 
Maaskini Makolo wanateseka mno...!
 
Yanga na zalan nani alianzia geto kwake?
 
Niwemkweli huyo jamaa alipata bahasha ya kaki toka GSM, hiyo game toka kipindi cha kwanza alitaka kujipatisha kadi nyekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…