Hili lilisemwa pale Tunduma: Eti msipowachagua wagombea wa chama changu sintoleta maji

Kwahiyo ulitaka asemeje? Anamuombea kura mgombea wa chama chake. Nyie mumnyime, ila maji awaletee sio? Wewe ni mpumbavu mkubwa kama unaamini alivunja katiba. Tena ningelikuwa mimi Mgombea Urais mnamnyima wa Mgombea Ubunge wa cbama changu, sio tu sileti maji, bali ningewaamisha kama Wamasai wa Loliondo na kuigeuza Tunduma Hifadhi ya Wanyama!
Wewe ni mshenzi Sana! Hela ilikuwa ni ya Mama yake au alitoa mfukoni kwake? Shenzi type!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio mpumbavu wa mwisho, vyama vya siasa vipo kwa mujibu wa katiba na sheria na kila mtu ana uhuru na haki ya kuchagua mgombea na chama anachokipenda

Serikali kuwapelekea wananchi huduma ni wajibu sio ombi au huruma za mtawala ñdio maanaa kila mtu analipa kodi kuchangia maendeleo ya nchi

Sio lazima kila mtu ajue kwamba wewe ni mpumbavu jaribu kujistiri kilaza wewe
Mwambie huyo takataka ya ccm, tunalipa kodi, yule mwehu aliongea kichizi tu!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo ulitaka asemeje? Anamuombea kura mgombea wa chama chake. Nyie mumnyime, ila maji awaletee sio? Wewe ni mpumbavu mkubwa kama unaamini alivunja katiba. Tena ningelikuwa mimi Mgombea Urais mnamnyima wa Mgombea Ubunge wa cbama changu, sio tu sileti maji, bali ningewaamisha kama Wamasai wa Loliondo na kuigeuza Tunduma Hifadhi ya Wanyama!
Kweli wewe ni mtoto wa shule
 
Pole, tatizo ni Afya ya akili sio kosa lako kwamba ukiomba kura unatumia ubaguzi halafu baadae useme maendeleo hayana chama bado uaminike kuwa wewe ni kiongozi unayelifaa taifa. Hongera kwa kutumia kichwa chako vizuri kwa kazi nyepesi ya kubebea nywere.
 
Mbunge wa hapa yuko wapi?
1655755727918.png
1655757171289.png
1655757000429.png
 
Kwahiyo ulitaka asemeje? Anamuombea kura mgombea wa chama chake. Nyie mumnyime, ila maji awaletee sio? Wewe ni mpumbavu mkubwa kama unaamini alivunja katiba. Tena ningelikuwa mimi Mgombea Urais mnamnyima wa Mgombea Ubunge wa cbama changu, sio tu sileti maji, bali ningewaamisha kama Wamasai wa Loliondo na kuigeuza Tunduma Hifadhi ya Wanyama!
Kwenye hiyo fluid ya ubongo kwako imebadilishwa na mavi
 
Hii ilikua 2020 wakati wa kampeni za urais wabunge na madiwani pale Tunduma. Ilikua hivi, wakati ngambo tu pale, hatua chache toka alipokua anafanyia kampeni pale kwenye mji wa nakonde pana maji safi ya baridi ya kunywa wazambia wanafurahia matunda ya kodi Yao. Na wakati mwingi watanzania nikiwemo tukivuka na madumu kwenda kudoea maji (kodi za wazambia) upande wa pili mpaka.

Bila aibu kabisa mchana kweupe kiongozi mkuu mgombea uraisi wa ccm bila kujali anavunja katiba ya inchi nakuondoa kabisa matumaini ya walipa kodi wa tunduma kueletewa maji na bila kujali hayo maneno ya aibu yanavuka na kusikika hadi upande wa zambia tunakodoea waji mgombea huyo bwana pombe alitamka kwamba wakazi wa tunduma wasipo chagua ccm hatokuja alete maji kwenye mji manaake bora tuendelee kudoea maji zambia (nakonde) ambako maji safi yapo tangu miaka ya themanini.

Mwendazake Mungu amlipe kadri ya matendo yoke.
Asante Mungu kwa utukufu wako
 
Mungu alikuwa na makusudi yake kutuletea lile shetani kuwa litawala letu, lakini Mungu huyo huyo akaamua ugomvi Bahari imetulia, tumepata mtu anayeongoza kwa kujali utu, bwana APEWE sifa sana AMINA
 
Pole, tatizo ni Afya ya akili sio kosa lako kwamba ukiomba kura unatumia ubaguzi halafu baadae useme maendeleo hayana chama bado uaminike kuwa wewe ni kiongozi unayelifaa taifa. Hongera kwa kutumia kichwa chako vizuri kwa kazi nyepesi ya kubebea nywere.
Mkuu kichwa changu nabebea "NYWELE" kwenda shule. Kichwa chako ubabebea "NYWERE"!
 
Hii ilikua 2020 wakati wa kampeni za urais wabunge na madiwani pale Tunduma. Ilikua hivi, wakati ngambo tu pale, hatua chache toka alipokua anafanyia kampeni pale kwenye mji wa nakonde pana maji safi ya baridi ya kunywa wazambia wanafurahia matunda ya kodi Yao. Na wakati mwingi watanzania nikiwemo tukivuka na madumu kwenda kudoea maji (kodi za wazambia) upande wa pili mpaka.

Bila aibu kabisa mchana kweupe kiongozi mkuu mgombea uraisi wa ccm bila kujali anavunja katiba ya inchi nakuondoa kabisa matumaini ya walipa kodi wa tunduma kueletewa maji na bila kujali hayo maneno ya aibu yanavuka na kusikika hadi upande wa zambia tunakodoea waji mgombea huyo bwana pombe alitamka kwamba wakazi wa tunduma wasipo chagua ccm hatokuja alete maji kwenye mji manaake bora tuendelee kudoea maji zambia (nakonde) ambako maji safi yapo tangu miaka ya themanini.

Mwendazake Mungu amlipe kadri ya matendo yoke.
Lakini si Mungu ameshawafariji ? "Au nasema uongo ndugu zanguuuuu" MUNGU FUNDI
 
Ndiyo maana Mungu aliingilia kati tarehe 17 03 2021
 
Back
Top Bottom