Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
- Thread starter
- #21
Tupo huku quarantine na kina salah na mane..!!Eti 'wrote from Anfield' [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
Klop anakusalimia.
#YNWA
Wrote from Anfield...!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo huku quarantine na kina salah na mane..!!Eti 'wrote from Anfield' [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
Sometimes mioyo hutudanganya..Do what your heart tells you to...........
Umri mkubwa wa kuoa ni UPI?Wafu hawana uwezo wa kuona wala kutenda mtu akifa ndo kaenda mazima mpaka kristo atakaporudi ndipo parapanda italia na makaburi ya walio mema yatafunguliwa.
Pili kuhusu kuoa: suala hili lilikuwa na umuhimu zamani kwa sasa ni kupoteza muda na rasilimali madada wanaingia kwenye ndoa kama kitega uchumi japo sio wote akishaona mali zimekuwa nyingi wanaachika ili mgawane 50 / 50 kisheria
ushauri wangu: tafuta pesa wekeza sana achana na ndoa kwanza umri wako bado mdogo tafuta pesa wekeza sana achana na wanawake
Kuna utofauti kati ya MISER na ECONOMIST.Tatizo ni ubahiri na kukosa mifano bora ya ndoa kwenye maeneo yako( jamii unayoishi) bila shaka uko Iringa, Manyara au Pwani.
Nimeambiwa nizaee tuu mchumba..
Njoo basi TUZAE THREE..!!!
#YNWA
Wrote from Anfield...!!!
Nimeshika hapa. ""..... hakuna furaha""Usioe mkuu...narudia tena USiOE! Kama watoto tafuta demu piga mimba leo watoto..pambana na life lako as long as unafurahia unachokifanya.... hakuna furaha kwenye kuoa mkuu..belive me!
One day YESS.
Tatizo hao wanawake sijui wapo QUARANTINE...Hivi upate ndoa bora na familia yenye furaha. Huwaze kuachika ili upate 50/50?, inaingia akilini kweli?. Atakuwa mpumbavu huyo mwanamke atakayevunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Achana na uoga, na usichague mwanamke tu alimradi ni bora mwanamke. Chagua mwanamke bora na mwenye tabia njema, ambaye unajua apa kweli nimepata mke na najivunia. Wanawake wote si sawa. Na ndoa zinatofautiana mkuu. Na ww pia ujihakikishie kuwa tabia yako ni njema na utammudu mkeo. Achana na uzinzi na hao wanaokushauri zaa tu.
Kwani mke anapatikanaje?Ni ujinga na upumbavu kwa mwanaume kutafuta hela miaka mingi tena kwa nguvu halafu huna mke au watoto wa kuzitumia.
Kwani mke anapatikanaje?
Maana hawa wa mtaani ni wake za watu ila wanaliwa kimasihara na mabaharia single na wengine wameolewa kufata Mali tuu mpaka kwa kutumia dawa za waganga.
Sasa na Mimi nikioa si mabaharia watakua wanapinduka na mke wangu halafu waje kuanzisha nyuzi humu..!!
#YNWA
Wrote from Anfield...!!!
•Nani kakuambie uzae? = WATOA COMMENTSNani kakuambie uzae? Halafu tukishazaa nitakuwa natiwa na nani? Au ndo nipambane kuzeeka na genye zangu? Au ndo mzazi mwenzako nianze kuhangaika kwa Serengeti boys mabodaboda?
Amen.Kama Bado huna mchumba, usiharakishe.
Ukiamua kuoa, Oa mwanamke anaekupenda, sio unaempenda wewe, akikuheshimu na kukujali utamthamini tu.
Dhumuni la ndoa ni kukamilishana katika madhaifu yetu,maana hakuna aliekamilika, ukiona ndoa imedumu ujue kuna mmoja kajifanya fala kumlindia mwenzake heshima.
Ndoa sio Mali tu, kuna mengi ya kusaidiana na kushirikishana.
Mimi ni kijana wa umri wako, miaka 5 kwenye ndoa na sijawahi kujuta.
I will you..Oa wewe Mengi ndo bilionea na alioa weeww tuhela twako twa kununulia vibambala na nyanya chungu vinakutia wazimu.
Find a woman and get married.
Hiyo point ya tatu mzee ndio ata mie inanipaga shida nikiwaza suala la ndoa... Ukiwa bachela yaani wee unajiwazia wewe tuu... Leo nikiamua kwenda kokote nitakako sina haja ya kuaga mtu..... Giving up that freesom kwa kweli huyo mwanamke sijui awe special kivipi yaani.
Ndio natafuta technics za kusema.Waambie tu kuwa wewe siyo wa kuoa wataelewa tu..N.B ndoa zina watu wake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Giving up freedom imekua ngumuu..!!!Hiyo point ya tatu mzee ndio ata mie inanipaga shida nikiwaza suala la ndoa... Ukiwa bachela yaani wee unajiwazia wewe tuu... Leo nikiamua kwenda kokote nitakako sina haja ya kuaga mtu..... Giving up that freesom kwa kweli huyo mwanamke sijui awe special kivipi yaani.