Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiaje?Ninachoona wewe ni mbinafsi!
Samahani kama litakukera.
Ninachoona wewe ni mbinafsi!
Samahani kama litakukera.
Wewe nae umezeeka tafuta mke uoe
We umeoa?Hii ndo ile tunaitaga Paranoid Personality Disorder, yani typical kabisa.
Fanya haraka uende hospitali ukapate msaada wa mawazo.
Unforgetable
Njoo nikuwowe basi wewe.
Nimeona na nina familia mkuu...but siamini furaha kwenye kuoa...kuna mambo mengi sana tunasucrifise kwa ajili ya kufanya maisha ya songe kiasi kwamba nilipokuwa single ilikuwa tofauti...hivyo yaani.Mzee inaonekana ulipatwa na kitu fulani hivi mpaka unasema haya😁😁
Sema unafeli sana unaoa ili iweje? Unaoa ili upate msaidizi wa kulea watoto sio chanzo cha furaha au akusaidie kipato hapo ndo tunafeli
Ahahaha peke yako hutaweza mkuuIla kumpa mwanamke anaejielewa ni mtihani mgumu kuliko wa PCM form 6..!!!
#YNWA
Wrote from Anfield...!!!
Ila liver mna gundu hakyanani vile
Hata nature haitaki mchukue ubingwa
Mbinafsi kiaje Sasa?Naunga mkono hoja dada.
Mtu kama huyu ni hatari sana.
Mke wa MTU huyu...Njoo nikuwowe basi wewe.
Mwambie...Aaa wapi na wivu huu nitakufa mapema bure niwaache watoto wangu wadogo
Dah nasikia KIJISAUTI CHA MAJUTO MOYONI MWAKO.Nimeona na nina familia mkuu...but siamini furaha kwenye kuoa...kuna mambo mengi sana tunasucrifise kwa ajili ya kufanya maisha ya songe kiasi kwamba nilipokuwa single ilikuwa tofauti...hivyo yaani.
Mbinafsi kiaje Sasa?
Kwani ni wangapi.....
1. wameingia kwenye ndoa zikawafilisi totally?
2. Wameingia kwenye ndoa wakagawana Mali na watalaka wao (50/50)?
3. Ni wangapi humu JF kila siku wanalalamika usaliti, na kutendwa na wenza wao kwenye ndoa?
4. Wangapi wanatoa nyuzi kuwa wamekula nyuchi za wake za watu, hao waume ZAO wanajua?
5. Wangapi humu wanaleta nyuzi za kujutia kuolewa au kuoa?
6. Wangapi humu wanalia na ndoa ZAO?
7. Na huko mtaani HUONI MATESO YA NDOA YANAYOENDELEA?
Then huoni nafanya RISK MANAGEMENT...!!
#YNWA
Wrote from Anfield...!!!
Nikweli nandiomana ameshauriwa azae zae2 ovyo ikibidi azae majambazi namavibaka ilimradi azae2.Ni ujinga na upumbavu kwa mwanaume kutafuta hela miaka mingi tena kwa nguvu halafu huna mke au watoto wa kuzitumia.
Ngoja nisubiri mke aje kama ajari..Ahahaha peke yako hutaweza mkuu
Is always about money..Duh mkuu kuoa kwasasa sio inshu kabisa. Mimi hata nikioa, nitaangalia ninae muoa ana nini chaziada katika maisha yangu hasa rasilimali naikibidi yeye ndio awe na vingi zaidi yangu mimi ili badae badae akizingua basi asizingue kwasababu yamali zangu azingue kwamambo mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
#YNWAMbona unachakachua thread?
Mambo ya Liverpool kuwa na gundu na kuoa vinahusianaje?