Hili limekaaje wadau, Hebu nipeni ushauri kuhusu hili jambo la ndoa

Halafu cha ajabu wanaozaliwaga NJE ya NDOA huwa wana toboa maisha NA wanajielewa kuliko waliozaliwa kwenye ndoa..!!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
Kama kina gigy moneyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Ž
 
Kama walezi wako umeshindwa kuuelewa ushauri wao hata hapa naamini hakuna utakae muelewa we endelea kuwa huru tu ila usinyetuke wala usiwe mzinifu maana ni dhambi na we ni mtu wa kanisa

Sent using GunTrigger
Maisha bila kunyandua ni SAWA NA ....!!!
Papuchi muhimu.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Mkuu una akili sana...kuna wanawake ni wapambanaji na wanafaa kuwa wake bora sema ndo hivyo unakuta mwamba asiyetambua thamani yake kashamwaribia maishaπŸ˜“
 
Mzee baba hata mchumba huna sasa utaoa nin[emoji16][emoji16] afu sio kila mwanaume ana hadhi ya kuoa,wengine muwe mnakuja kwa mashemeji mnapikiwa mnakula afu mkalale ghetoni
Dah katika kitu siwezi na sijawahi Fanya...

1. Kulala kwa shemeji
2. Kula kwa shemeji hii labda ikitokea kama accident.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Hongera kwa hilo Mkuu,furaha inaanzia kwako mwenyewe sio kwa mwenza wako so kama hauna furaha afu unaoa ili upate furaha it will never happen...
Amen.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Amen.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Aisee unaonekana una moyo mdogo sana, sasa kumtafutia kazi tu hivyo unalalamikaa (sijui mshahara kwa nguvu zako wakati kazi anafanya yeye),je ungemsomesha? Wahenga wanasema "tenda wema nenda zako usingoje shukurani"
 
Kwli kabisa...hakuna kipya napata kwenye ndoa ambacho ningekikosa ningekuwa single...ndo maana namshauri jamaa kama ana fraha na life yake kama lilivyo asioee mkuu...
Amen.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Mzee ujana mbaya 30's hata mtoto huna unategemea uje upate mchumba uoe na uzae utakuwa 34...nimekutana na watu wengi waliofanikiwa kimaisha wanajuta kuchelewa kuoa na kuzaa angalia yasikukute kama hayo majuto
Maisha yanaanza na wewe..
Ishi kwanza wewe.

Sasa we unawatafutia watu hela sijui wasome na wale na waishi maisha bora.

JE WEWE UMEISHI YALE MAISHA ULIYOYAOTA?

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…