Hili limekaaje wadau, Hebu nipeni ushauri kuhusu hili jambo la ndoa

Hapo ndio utajua waliosema simba akizidiwa hula hata nyasi walimaanisha nini. Kifupi ni kwamba hakukupenda sema alikuwa anashida na akaona wewe uko tayar kumsaidia bila kujali dini wala kabila lako akaomba msaada. So next time be careful
Ila mna akili za ajabu maana ""alinitafuta anajutia na anataka tupashe kiporo""
Ila mi moja ya slogan zangu MKE WA MTU SUMU.

Maana wanawake wa siku hizi akikupenda wengi ni kwamba wanashida aidha ya hela au .......

Hapa ndio maana Zero IQ anakula sanaa papuchi..
Ngoja mabaharia waendelee kuvua hizo chupi..

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Amen.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
😂😂😂relax
 
Kama alizaliwa nao haina shida sio kosa lake na unaweza kuwa nae tu maana usipozaa nae wewe nani mwingine atampa hata katoto...tena usingejutia huyo hachepuki zaidi yako wewe na ungepata maendeleo makubwa
Nioe UKIMWI bro..!!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Amen.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]pamoja na utamu wako lakini bado akakuacha
Alisema hawezi kuolewa na mkristo ila sasa hivi anataka mahaba ya mkristo...!!!
Ila mimi hapana ""MKE WA MTU SUMU""

Ndoa ngumu...!!!

Sasa eti mi naoa halafu mke wangu anaanza kukumbuka ma x wake halafu wanalana, pia usiku ananiletea na Mimi papuchi ile ile nakula... Jamaniii iiiiii bagosha..!!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Ahahahah eti ajari
Wanasema nimsubiri atakae nipenda ndio nioe... Sasa ndio namsubiri anipende tu kama ajali..!

Maana nikimpenda Mimi atanitesa na kujishaua..!!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Wewe usioe mwaya.
 
Kuna utofauti kati ya MISER na ECONOMIST.

I think am ECONOMIST.

Na majanga ya NDOA yapo kila sehemu mpaka social media..!!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
Pole sana mkuu you met a miserable world. Lakini ndio maisha.
 
Ukiwaza kwamba ukioa mkiacha mke atadai mali na mtagawana na huku umechuma mwenyewe .hutaoa.Piga moyo konde na uoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…