Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Kuna mdau juzi kati alifanya written interview utumishi kada ya Tax management officer ii mwajiri akiwa TRA, kwa maelezo yake anasema aliscore 45.5 kwenye huo mtihani, sasa anasema kuna mtu kamjulisha kuwa kuna habari inaendelea huko utumishi kuwa kuna uwezekano wa watu walioscore kuanzia 49 mpaka 45 kuitwa kufanya oral interview sababu ni kwamba kuna idadi ya watu ambayo haijatimia na walioitwa awali kwenye oral ni wachache sana.

Binafsi nijuavyo utumishi hawana huo utaratibu na sijawahi kuusikia ila jamaa kakomaa na hizo habari.

So naomba kuuliza ,lina ukweli hilo suala au ndugu yangu anajifariji bure tu?
 
Nasikia mmefeli sana vijana.so wameamua kufanya hivyo ili kubalance.pia number ya watu walioitwa kwenye oral haiendani na idadi ya watu wanaotakiwa kuajiriwa.mfano TMO wameita oral watu 465 tu na wakati watu wanaotakiwa ni 294, ukiangalia hapo hakuna uwiano.walitakiwa waite angalau watu 880 huko ili kubalnce. Nimezisikia mahali flani flani hizi news ingawa hazijadhibitishwa.
 
Umezisikia wapi na kwa nani?
 

Hakuna kitu kama hicho hadi wanaita watu walishajua hiyo ratio
 
Kwa hiyo ni kweli au si kweli?
 
Nimepata ufafanuzi tayari kwa mdau mmoja humu.nilimcheck inbox
 
Sasa wewe unajua utumishi hawana huo utaratibu kulikua na haja gani ya wewe kuleta huu uzi hapa?
 
Sasa wewe unajua utumishi hawana huo utaratibu kulikua na haja gani ya wewe kuleta huu uzi hapa?
Wewe umeona haukuhusu,ungepita tu kimya kimya.hakuna aliyekushikia kombora kukulazimisha kuusoma..mbona nyuzi za kusoma ziko nyingi tu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…