Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

Hiyo imetoka sifikirii km kunarudia tena au wanataka kupitisha watu wao hawa jamaa
 
Hii haiwezekani kuchukua below 49.5 kwa utumishi . Ninavyoelewa ile ratio ni kwenye written tu na sio Oral . Pia jambo hili likitokea litaharibu image ya Utumishi maana itakuwa mara ya pili sasa kwa sahili za TRA. And why ile TRA tu pia kumbuka vijana wametumia gharama kubwa kuanzia written hadi oral. Pamoja na posho za wasimamizi. Japo kwa hili halina shida sana. Labda kama kuna vigogo ambao watoto wao wamepigwa down wanaforce mchezo.
 
Mkuu ratio kwenye written kivipi??
Nikiangalia sijui ni customs wake waliofanya ni 2000+ na wanaohitajika ni 100+ tupe ratio hapo.
 
Msijifariji hakuna kitu kama hicho, mambo ya alama 50, 60 na 70 yapo kikanuni kabisa ambayo inaongoza sekretarieti katika mambo yake, chini ya 50 kwa kanuni za sekretarieti huwezi kuchaguliwa kufanya hivyo ni kuvunj kanuni na sheria inayowaongoza
 
Back
Top Bottom