The mgusi
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 221
- 446
Mfano nafasi za kazi TRA zilikuwa 1097 walioitwa written interview jumla ni 13000 hiyo ni ratio ya 1:11. Swala la kufaulu written kwenda oral hajalishi Ratio muhimu ifikie lengo la wahitajika. Mfano nafasi kama ni 100 wakaitwa oral 200 haijalishi watenda tu kupambana huko huko. Nakuangalia ufaulu wa juu. Na kama wasailiwa hawatokidhi basibusahili utarudiwa upya kwa kutangaza upya nafasi za kazi.