Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

Mfano nafasi za kazi TRA zilikuwa 1097 walioitwa written interview jumla ni 13000 hiyo ni ratio ya 1:11. Swala la kufaulu written kwenda oral hajalishi Ratio muhimu ifikie lengo la wahitajika. Mfano nafasi kama ni 100 wakaitwa oral 200 haijalishi watenda tu kupambana huko huko. Nakuangalia ufaulu wa juu. Na kama wasailiwa hawatokidhi basibusahili utarudiwa upya kwa kutangaza upya nafasi za kazi.
 
Mfano nafasi za kazi 100 ,walikuwa shortlisted ni 800 hiyo ni ratio ya 1:8 na waliofaulu ni 200 kwenda oral kati ya nafasi 100 kati ya watu 800 haizuii usahili kuendelea maana yake ile ratio ya 1:8 tayari imefanyika hata kama sio 1:3. Shida wabongo nafasi zikiwa 100 wakaitwa watu 10,000 utasikia nyomi mnaenda kupoteza nauli na muda ,hizo nafasi zina wenyewe. Yaani sisi ngozi nyeusi tuna shida sana.
Jipe muda kiongozi,Mambo mazuri hayahitaji presha na haraka
 
Mfano nafasi za kazi TRA zilikuwa 1097 walioitwa written interview jumla ni 13000 hiyo ni ratio ya 1:11. Swala la kufaulu written kwenda oral hajalishi Ratio muhimu ifikie lengo la wahitajika. Mfano nafasi kama ni 100 wakaitwa oral 200 haijalishi watenda tu kupambana huko huko. Nakuangalia ufaulu wa juu. Na kama wasailiwa hawatokidhi basibusahili utarudiwa upya kwa

Mfano nafasi za kazi TRA zilikuwa 1097 walioitwa written interview jumla ni 13000 hiyo ni ratio ya 1:11. Swala la kufaulu written kwenda oral hajalishi Ratio muhimu ifikie lengo la wahitajika. Mfano nafasi kama ni 100 wakaitwa oral 200 haijalishi watenda tu kupambana huko huko. Nakuangalia ufaulu wa juu. Na kama wasailiwa hawatokidhi basibusahili utarudiwa upya kwa kutangaza upya nafasi za kazi.
Hivi kazi zilishawahi kutangazwa tena baada ya utumishi kutopata mtu aliyequalify kwenye oral?
 
Wangekuwa washatangaza mkuu km kuna issue ya kurudia Oral kipindi hichi wako fasta sana, sifikirii km hiyo issue inawezakana yatazuka mengine mapya.
Kwahiyo na waliofanya oral tayari nao wanaweza kurudia?
 
Kuna mdau juzi kati alifanya written interview utumishi kada ya Tax management officer ii mwajiri akiwa TRA, kwa maelezo yake anasema aliscore 45.5 kwenye huo mtihani, sasa anasema kuna mtu kamjulisha kuwa kuna habari inaendelea huko utumishi kuwa kuna uwezekano wa watu walioscore kuanzia 49 mpaka 45 kuitwa kufanya oral interview sababu ni kwamba kuna idadi ya watu ambayo haijatimia na walioitwa awali kwenye oral ni wachache sana.

Binafsi nijuavyo utumishi hawana huo utaratibu na sijawahi kuusikia ila jamaa kakomaa na hizo habari.

So naomba kuuliza ,lina ukweli hilo suala au ndugu yangu anajifariji bure tu?
Sidhani kama hili linawezekana. Maana nafasi zilikuwa 294, walioitwa Oral ni 465. Sasa kama wameshindwa kupata watu 294 kati ya 465 itakuwa ajabu. Labda kama wanaongeza nafasi.
 
Sema sidhani kama wanaweza rudia oral...nimaoni yangu tu.
Uwezekano wa kurudia interview haujawah kuwepo Kama watu wamefeli Kuna kitu kinaitwa re-advitesement ....kwa hyo mtaomba upya.

Na sifa mojawapo ya utumishi sio kujaza nafasi Ni kuchagua mtu mwenye vigezo ..ambapo ufaulu wowote lazma uanzia marks ya 50 ... ndugu zangu tuache stori za Instagram...



Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom