Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

Sidhani kama kuna ukweli wowote katika hili, but anyway things happen
 
Hzo ratio mnazozizungumzia wala hawajali km nafasi n moja n umekuja peke ako utapewa nafasi n mambo mengne yanaendelea
 
Huenda kuna watoto wa wakubwa walipata below 50 so wanaangalia namna ya kuwabeba.
Hakunaga watoto wa hao unao waita wakubwa wanafanya kazi TRA, 90% ya staff ni waliotoka familia za kawaida na wengine hali ngumu kimaisha...
 
msidanganyike kanuni ili ufanye oral laxima kuanzia 50 tena inategemeana na waliofaulu kama waliopiga written na oral hawatoshi nafasi zinatangazwa tena ula sio waliopata chini ya 50 wafanye oral
 
msidanganyike kanuni ili ufanye oral laxima kuanzia 50 tena inategemeana na waliofaulu kama waliopiga written na oral hawatoshi nafasi zinatangazwa tena ula sio waliopata chini ya 50 wafanye oral
Mfano nafasi za kazi 100 ,walikuwa shortlisted ni 800 hiyo ni ratio ya 1:8 na waliofaulu ni 200 kwenda oral kati ya nafasi 100 kati ya watu 800 haizuii usahili kuendelea maana yake ile ratio ya 1:8 tayari imefanyika hata kama sio 1:3. Shida wabongo nafasi zikiwa 100 wakaitwa watu 10,000 utasikia nyomi mnaenda kupoteza nauli na muda ,hizo nafasi zina wenyewe. Yaani sisi ngozi nyeusi tuna shida sana.
 
Back
Top Bottom