Hili mimi ntalisema Tu. Kama watanichukia wanichukie Potelea Mbali

Hili mimi ntalisema Tu. Kama watanichukia wanichukie Potelea Mbali

Guru Master

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
226
Reaction score
594
UKWELI LAZIMA USEMWE

Simba Vs Yanga

SIMBA
  • Imeshakamilisha usajili.
  • Haijaacha hata mchezaji mmoja wa first-eleven ya msimu uliopita.
  • Kocha amesharejea.
  • Inaanza maandalizi leo.
YANGA
  • Inaendelea na usajili. Wanasubiri anga lifunguke, ili wachezaji toka nje waweze kuwasili. Anga gani wanalotoka wachezaji wa Yanga?
  • Imeacha wachezaji zaidi ya 14. Kati yao, wachezaji kama 6 walikuwa ama katika first-eleven au wakitokea bench; Kelvin Yondani, Juma Abdul, Papy Tshishimbi, David Molinga "Falcao", Jafar Mohamed, Patrick Sibomana, Mrisho Ngassa, Ally Sonso, MO Banka, Yikpe, Erick Kabamba, Dante, Tariq Seif, Raphael Daudi, Dante, Ally Ally, Mwalami Issa "Marcello"
  • Hadi sasa haina kocha.
  • Badala ya kufanya mambo ya msingi, wanahangaika na "Wiki ya Mwananchi".

TUKUMBUKE
Ligi inaanza tarehe 6 Septemba, siku 18 tu kuanzia leo. Halafu Simba ikichukua ubingwa wa nne mfululizo utasikia;
  • Inabebwa
  • TFF yote ni Simba
  • CAF yote Simba
  • FIFA yote Simba
  • Serikali yote Simba
  • Dunia yote Simba
na visingizio vingi visivyo na ukweli.

YANGA tumekuwa walalamishi kama Mama alokosa Mwana. Na tumejenga huo kuwa ni Utamaduni wetu. Wa hovyo kabisa na usio wa kisomi. Maana yake Team haikuwa inajua inataka kusajili wachezaji gani.ndo maana mtu flani anahangaika hangaika kutafuta wachezaji kipindi hiki ilhali uongozi ulipaswa uwe na List yake.Simba wameenda kuchukua waliowataka na kuacha waliowataka ndani ya muda mfupi sana.
 
Inamaanisha Simba ikibebwa na marefa wapenzi wa michezo wasilalamike, uo upuuzi hau isaidii simba ila uko ambako Simba inakwenda itaendelea kutia aibu. Mwisho wake timu inafungwa 5,5,4 mfululizo.

Yanga wanachotakiwa wasikurupuke kusajili watulie wapate wachezaji wazuri watapata matokeo mazuri uwanjani. Yanga hawana sababu ya kukimbizana na Simba katika usajili kwakua tumeona sajili mbovu za kukurupuka zilizopita zilivyo igharimu timu.
 
Inabebwa
• TFF yote ni Simba
• CAF yote Simba
• FIFA yote Simba
• Serikali yote Simba
• Dunia yote Simba
na visingizio vingi visivyo na ukweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NA YANGA YOTE NI SIMBA....hatimaye
 
Inamaanisha Simba ikibebwa na marefa wapenzi wa michezo wasilalamike, uo upuuzi hau isaidii simba ila uko ambako Simba inakwenda itaendelea kutia aibu. Mwisho wake timu inafungwa 5,5,4 mfululizo...
5,5 lakn timu ndiyo bingwa wa nchi. Analichukuwa kombe kama lake na mashabiki na wana simba TUNAISHI kwa furaha KUNA SHIDA GANI? Hilo kombe la Africa kwan analikosa simba TUUU? Wako wap As vita? Wako wap kaiser chief? Ziko wap timu za Afrika magharibi? Je Zambia hakuna washiriki km simba? Kenya, Uganda? .....ACHA UJINGA SISI NA RAHA ZETU
 
Ni kweli wamechelewa sana kupata kocha,na kazi ya kumtafuta kocha inafanyika na usajili pia unaendelea,muhimu tu wakamilishe haraka
 
Zimebaki siku 19 ligi ianze ,simba wako kambini yanga wanaokotana
 
Manyani fc wanabaki kubweka tunasubiri anga lifunguliwe wakati wenzao vitu vinapishana, wakitaka wachezaji wazuri mara wapeleke milioni 20 wakiambiwa pesa hazitoshi wanataka kufoji mchezaji kama Soka wameshindwana dau wanamwambia ngoja asubiriwe kocha mpywa wakati wengine wamesajiliwa bila kocha mpywa kuwepo
 
Sijui unafikiri kutumia Nini...Yanga imeacha 14 na Simba haijaacha mchezaji??...kwenye mazoezi saa hizi Yanga inao wangapi na Simba wako wangapi...Yanga imesajili wangapi na wangapi wapo mazoezini mpaka Sasa...Simba imesajili wachezaji wangapi wa kigeni na wangapi wanatakiwa...stupid
 
Sijui unafikiri kutumia Nini...Yanga imeacha 14 na Simba haijaacha mchezaji??...kwenye mazoezi saa hizi Yanga inao wangapi na Simba wako wangapi...Yanga imesajili wangapi na wangapi wapo mazoezini mpaka Sasa...Simba imesajili wachezaji wangapi wa kigeni na wangapi wanatakiwa...stupid
Umeelewa ulichoandika?
 
Mpaka sasa nishaona Simba inachukua tena Kombe la VPL
 
Back
Top Bottom