Guru Master
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 226
- 594
UKWELI LAZIMA USEMWE
Simba Vs Yanga
SIMBA
TUKUMBUKE Ligi inaanza tarehe 6 Septemba, siku 18 tu kuanzia leo. Halafu Simba ikichukua ubingwa wa nne mfululizo utasikia;
YANGA tumekuwa walalamishi kama Mama alokosa Mwana. Na tumejenga huo kuwa ni Utamaduni wetu. Wa hovyo kabisa na usio wa kisomi. Maana yake Team haikuwa inajua inataka kusajili wachezaji gani.ndo maana mtu flani anahangaika hangaika kutafuta wachezaji kipindi hiki ilhali uongozi ulipaswa uwe na List yake.Simba wameenda kuchukua waliowataka na kuacha waliowataka ndani ya muda mfupi sana.
Simba Vs Yanga
SIMBA
- Imeshakamilisha usajili.
- Haijaacha hata mchezaji mmoja wa first-eleven ya msimu uliopita.
- Kocha amesharejea.
- Inaanza maandalizi leo.
- Inaendelea na usajili. Wanasubiri anga lifunguke, ili wachezaji toka nje waweze kuwasili. Anga gani wanalotoka wachezaji wa Yanga?
- Imeacha wachezaji zaidi ya 14. Kati yao, wachezaji kama 6 walikuwa ama katika first-eleven au wakitokea bench; Kelvin Yondani, Juma Abdul, Papy Tshishimbi, David Molinga "Falcao", Jafar Mohamed, Patrick Sibomana, Mrisho Ngassa, Ally Sonso, MO Banka, Yikpe, Erick Kabamba, Dante, Tariq Seif, Raphael Daudi, Dante, Ally Ally, Mwalami Issa "Marcello"
- Hadi sasa haina kocha.
- Badala ya kufanya mambo ya msingi, wanahangaika na "Wiki ya Mwananchi".
TUKUMBUKE Ligi inaanza tarehe 6 Septemba, siku 18 tu kuanzia leo. Halafu Simba ikichukua ubingwa wa nne mfululizo utasikia;
- Inabebwa
- TFF yote ni Simba
- CAF yote Simba
- FIFA yote Simba
- Serikali yote Simba
- Dunia yote Simba