Hili ndilo Jicho langu la Kiufundi kabisa kwa matokeo ya leo na kwanini Mfalme wa Nyika amefanyiwa Kitu mbaya na Wamakonde

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Timu ya Simba SC tulijiamini kupita Kiasi.
2. Timu ya Simba SC tuliwadharau sana Wapinzani.
3. Timu ya Simba SC ilijiandaa Kupata Mapato Uwanjani na siyo Matokeo mazuri Uwanjani.
4. Timu ya Simba SC imemkaribisha Kiongozi Mmoja wa Serikali ambaye anakiharibu Kikosi.
5. Kocha wa Simba SC hasa Mchezo wa leo atakuwa Kapanga Kikosi kwa Shinikizo.
6. Kocha wa Simba SC hakutakiwa kabisa Kumpanga leo Golini Kipa Aishi Manula kwani bado hakuwa na Utayari wa Kucheza na Kitendo cha kumwacha Benchi Kipa Beno Kakolanya ambaye alishakuwa vizuri na hata Mechi ya awali na hawa UD Songo alidaka Yeye alikuwa tayari katika nafasi nzuri ya Kuwasoma na alishawafahamu tofauti na Aishi Manula ambaye aliitizama UD Songo akiwa Dar es Salaa akiuguza Majeraha yake. Hapa Kosa Kubwa mno la Kiufundi limefanyika na Kocha wa Simba SC anatakiwa atuombe Radhi wana Simba SC wote.
7. Kiongozi aliyeamuru Kuachwa kwa akina Kotei, Okwi na Niyonzima ametugharimu mno kwani Kikosi hakikutakiwa Kubadilishwa vile kutokana na kwamba hata Wachezaji walikuwa tayari wameshazoena vyema. Sijaona Tija ya Simba SC Kuwasajili Wachezaji wa Kibrazili tena ambao wengi wao ni Pancha ( Majeruhi ) na hata Uwezo wao wa Kimpira siyo ule ambao unaweza Kuwashawishi akina siye tuliobahatika kidogo Kucheza mpira hata kama siyo wa Kiwango Kikubwa kama cha Wachezaji wa Ligi Kuu.

Sijaona tatizo na hadi leo najiuliza kama kweli Simba SC ina Mwekezaji Mohammed Dewji ilishindwaje Kumalizana mapema na Wachezaji muhimu kama akina Kotei, Okwi na Niyonzima kisha wakakimbilia Kutusajilia hawa Magalasa Wabrazili? Hivi tukiacha Utani na Unafiki Francis Kahata anamfikia Haruna Niyonzima Kiuwezo? Kama kuna Wachezaji ambao naweza kusema Simba SC imefanya vyema Kuwasajili ni wawili tu Sharaf Shiboub na Deogratius Kanda ila waliobaki wote ni Takataka tupu na hawana uwezo wa Kuichezea Klabu ya Simba.

Kocha Mkuu wa Simba SC nae anaanza Kutuchanganya kwani haingii akilini anamuacha Golikipa Beno Kakolanya ambaye sasa yupo relini ( katika moto / mstari ) anatupangia Aishi Manula ambaye Kiutaalam kabisa Fitness yake haijazidi hata 25% ila Kocha analazimishwa Kumpanga kwa Shinikizo la Kiongozi fulani wa Mkoa ambaye ni Swahiba wake kwa Kusaidiana na baadhi ya Viongozi wa Simba SC bila kujua kuwa huo Upumbavu wao unaigharimu Simba SC na leo umetugharimu kweli.

Najua wana Simba SC wote tumeumia ila kama aliyeumia mno naweza kusema ni Mimi kwakuwa kwa Kuchanganyikiwa na Kutolewa mapema hivi nimekoswakoswa na dhahama moja mahala fulani Jioni hii na Kiukweli hata Usiku wangu wa leo utakuwa ni mkubwa na sijui Kesho nitaficha wapi Sura yangu na hasa ukizingatia kuwa nazungukwa na wana Yanga kwa 98% ya Maisha yangu na Mizunguko yangu.

Viongozi wa Simba SC na Wachezaji wa Simba SC leo mmetuangusha na mmetuumiza mno.
 
7. Kiongozi aliyeamuru Kuchwa kwa akina Kotei, Okwi na Niyonzima ametugharimu mno kwani Kikosi hakikutakiwa Kubadilishwa vile.

Okwi alitaka milion 400 na salary ya million 12 nan angetoa?

Ile goli sio kosa la kipa
 
Usilaumu kwamba kikosi Cha Simba kilijiamini kupita kiasi. Hali ya kujiamini hata mashabiki wa Simba walikua nayo na wala hawakujishughulisha kuichambua timu kiufundi zaidi ya kuishia kusema aah! Wale taifa hawatoki...mwishowe wameshindwa kuamini mpk dakika hii kwamba ni kweli Simba imetolewa... WANANCHI MTUWAKILISHE VYEMA HUKO MBELENI [emoji120][emoji120]
 
Okwi alitaka milion 400 na salary ya million 12 nan angetoa?

Ile goli sio kosa la kipa

Umecheza mpira au umejiffunza mpira wapi na lini? Narudia tena kusema huku nikijiamini kabisa kuwa lile Goli ni Uzembe wake Kipa Aishi Manula ambaye hakuwa Fiti Kimchezo wa leo ila amepangwa tu kwa Shinikizo la Viongozi fulani huku Kocha nae akilazimishwa lakini hakustahili Kudaka kabisa leo. Nina uhakika kwa Utimamu wa Kimwili huku tayari akiwa katika Reli / Moto Kipa Beno Kakolanya asingefungwa lile Goli. Na Wapuuzi wachache kama Wewe ndiyo mnamvimbisha Kichwa Aishi Manula ambaye hata hivyo siyo mzuri kivile ila uzuri wake unatokana na Beki Imara inayomlinda. Ndiyo maana nimefurahi mno kuona amepata Changamoto mpya kutoka kwa Kipa Juma Kaseja na kwa Fomu ya hali ya juu aliyoionyesha jana Kipa wa Yanga SC Metacha Mnata kule Gaborone Botswana huyu Aishi Manula wako Namba ya Taifa Stars ataisikia katika Bomba hata kama Mtetezi wake na Kipenzi chake Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ataingilia kati kama alivyoingilia kati leo Aishi Manula aanze na hatimaye ametuchomesha Simba SC kwakuwa hakuwa Fiti 100%.
 
Tulidharau kule kwao tukasema huku kwetu hawatoki sababu uwanja mzuri....

Tukubali kuwa matokeo ilibidi mmoja tu aende
Mbona Barca huwa aantolewa
 
Hiyo FC Barcelona yako ni sawa na Simba SC Kiongozi?
 
1. Timu ya Simba SC tulijiamini kupita Kiasi.
2. Timu ya Simba SC tuliwadharau sana Wapinzani.
3. Timu ya Simba SC ilijiandaa Kupata Mapato Uwanjani na siyo Matokeo mazuri Uwanjani.
4. Timu ya Simba SC imemkaribisha Kiongozi Mmoja wa Serikali ambaye anakiharibu Kikosi.
5. Kocha wa Simba SC hasa Mchezo wa leo atakuwa Kapanga Kikosi kwa Shinikizo.
6. Kocha wa Simba SC hakutakiwa kabisa Kumpanga leo Golini Kipa Aishi Manula kwani bado hakuwa na Utayari wa Kucheza na Kitendo cha kumwacha Benchi Kipa Beno Kakolanya ambaye alishakuwa vizuri na hata Mechi ya awali na hawa UD Songo alidaka Yeye alikuwa tayari katika nafasi nzuri ya Kuwasoma na alishawafahamu tofauti na Aishi Manula ambaye aliitizama UD Songo akiwa Dar es Salaa akiuguza Majeraha yake. Hapa Kosa Kubwa mno la Kiufundi limefanyika na Kocha wa Simba SC anatakiwa atuombe Radhi wana Simba SC wote.
7. Kiongozi aliyeamuru Kuachwa kwa akina Kotei, Okwi na Niyonzima ametugharimu mno kwani Kikosi hakikutakiwa Kubadilishwa vile kutokana na kwamba hata Wachezaji walikuwa tayari wameshazoena vyema. Sijaona Tija ya Simba SC Kuwasajili Wachezaji wa Kibrazili tena ambao wengi wao ni Pancha ( Majeruhi ) na hata Uwezo wao wa Kimpira siyo ule ambao unaweza Kuwashawishi akina siye tuliobahatika kidogo Kucheza mpira hata kama siyo wa Kiwango Kikubwa kama cha Wachezaji wa Ligi Kuu.

Sijaona tatizo na hadi leo najiuliza kama kweli Simba SC ina Mwekezaji Mohammed Dewji ilishindwaje Kumalizana mapema na Wachezaji muhimu kama akina Kotei, Okwi na Niyonzima kisha wakakimbilia Kutusajilia hawa Magalasa Wabrazili? Hivi tukiacha Utani na Unafiki Francis Kahata anamfikia Haruna Niyonzima Kiuwezo? Kama kuna Wachezaji ambao naweza kusema Simba SC imefanya vyema Kuwasajili ni wawili tu Sharaf Shiboub na Deogratius Kanda ila waliobaki wote ni Takataka tupu na hawana uwezo wa Kuichezea Klabu ya Simba.

Kocha Mkuu wa Simba SC nae anaanza Kutuchanganya kwani haingii akilini anamuacha Golikipa Beno Kakolanya ambaye sasa yupo relini ( katika moto / mstari ) anatupangia Aishi Manula ambaye Kiutaalam kabisa Fitness yake haijazidi hata 25% ila Kocha analazimishwa Kumpanga kwa Shinikizo la Kiongozi fulani wa Mkoa ambaye ni Swahiba wake kwa Kusaidiana na baadhi ya Viongozi wa Simba SC bila kujua kuwa huo Upumbavu wao unaigharimu Simba SC na leo umetugharimu kweli.

Najua wana Simba SC wote tumeumia ila kama aliyeumia mno naweza kusema ni Mimi kwakuwa kwa Kuchanganyikiwa na Kutolewa mapema hivi nimekoswakoswa na dhahama moja mahala fulani Jioni hii na Kiukweli hata Usiku wangu wa leo utakuwa ni mkubwa na sijui Kesho nitaficha wapi Sura yangu na hasa ukizingatia kuwa nazungukwa na wana Yanga kwa 98% ya Maisha yangu na Mizunguko yangu.

Viongozi wa Simba SC na Wachezaji wa Simba SC leo mmetuangusha na mmetuumiza mno.
Pole sana kiongozi,
Kwa bahati mbaya mechi ya simba leo nineisikiliza redioni (kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika).
Baada ya mechi kuisha nikamwambia jamaa niliyekuwa nae mida hiyo kuwa " Kocha wa Simba anapaswa kulaumiwa kwa matikeo haya"

Sababu zangu zilitokana zaidi na nilivosikiliza,,,
Katika kusikiliza niligundua intentiona ya wapinzani wetu kuwa ni goli la ugenini la mapema". nasikitika kuona kuwa kocha wangu hakujua hilo hadi pale goli linafungwa.

Najiuliza kwanini hakuweza kujioanga haraka kuzuia mashambulizi ya UD songo kabla hayajaleta madhara,,,, ndo maana namlaum kocha.

Lakini kikosi cha Simba ni kizuri ,,, kocha aachwe huru ,,, simba tunarudi tena msimu ujao kwenye Champions league.
 
1. Timu ya Simba SC tulijiamini kupita Kiasi.
2. Timu ya Simba SC tuliwadharau sana Wapinzani.
3. Timu ya Simba SC ilijiandaa Kupata Mapato Uwanjani na siyo Matokeo mazuri Uwanjani.
4. Timu ya Simba SC imemkaribisha Kiongozi Mmoja wa Serikali ambaye anakiharibu Kikosi.
5. Kocha wa Simba SC hasa Mchezo wa leo atakuwa Kapanga Kikosi kwa Shinikizo.
6. Kocha wa Simba SC hakutakiwa kabisa Kumpanga leo Golini Kipa Aishi Manula kwani bado hakuwa na Utayari wa Kucheza na Kitendo cha kumwacha Benchi Kipa Beno Kakolanya ambaye alishakuwa vizuri na hata Mechi ya awali na hawa UD Songo alidaka Yeye alikuwa tayari katika nafasi nzuri ya Kuwasoma na alishawafahamu tofauti na Aishi Manula ambaye aliitizama UD Songo akiwa Dar es Salaa akiuguza Majeraha yake. Hapa Kosa Kubwa mno la Kiufundi limefanyika na Kocha wa Simba SC anatakiwa atuombe Radhi wana Simba SC wote.
7. Kiongozi aliyeamuru Kuachwa kwa akina Kotei, Okwi na Niyonzima ametugharimu mno kwani Kikosi hakikutakiwa Kubadilishwa vile kutokana na kwamba hata Wachezaji walikuwa tayari wameshazoena vyema. Sijaona Tija ya Simba SC Kuwasajili Wachezaji wa Kibrazili tena ambao wengi wao ni Pancha ( Majeruhi ) na hata Uwezo wao wa Kimpira siyo ule ambao unaweza Kuwashawishi akina siye tuliobahatika kidogo Kucheza mpira hata kama siyo wa Kiwango Kikubwa kama cha Wachezaji wa Ligi Kuu.

Sijaona tatizo na hadi leo najiuliza kama kweli Simba SC ina Mwekezaji Mohammed Dewji ilishindwaje Kumalizana mapema na Wachezaji muhimu kama akina Kotei, Okwi na Niyonzima kisha wakakimbilia Kutusajilia hawa Magalasa Wabrazili? Hivi tukiacha Utani na Unafiki Francis Kahata anamfikia Haruna Niyonzima Kiuwezo? Kama kuna Wachezaji ambao naweza kusema Simba SC imefanya vyema Kuwasajili ni wawili tu Sharaf Shiboub na Deogratius Kanda ila waliobaki wote ni Takataka tupu na hawana uwezo wa Kuichezea Klabu ya Simba.

Kocha Mkuu wa Simba SC nae anaanza Kutuchanganya kwani haingii akilini anamuacha Golikipa Beno Kakolanya ambaye sasa yupo relini ( katika moto / mstari ) anatupangia Aishi Manula ambaye Kiutaalam kabisa Fitness yake haijazidi hata 25% ila Kocha analazimishwa Kumpanga kwa Shinikizo la Kiongozi fulani wa Mkoa ambaye ni Swahiba wake kwa Kusaidiana na baadhi ya Viongozi wa Simba SC bila kujua kuwa huo Upumbavu wao unaigharimu Simba SC na leo umetugharimu kweli.

Najua wana Simba SC wote tumeumia ila kama aliyeumia mno naweza kusema ni Mimi kwakuwa kwa Kuchanganyikiwa na Kutolewa mapema hivi nimekoswakoswa na dhahama moja mahala fulani Jioni hii na Kiukweli hata Usiku wangu wa leo utakuwa ni mkubwa na sijui Kesho nitaficha wapi Sura yangu na hasa ukizingatia kuwa nazungukwa na wana Yanga kwa 98% ya Maisha yangu na Mizunguko yangu.

Viongozi wa Simba SC na Wachezaji wa Simba SC leo mmetuangusha na mmetuumiza mno.
Gentamycine in and out.
 
Back
Top Bottom