Nendeni Mkamtake radhi Mheshimiwa Rais,ile kauli yake itaendelea kuwachoma sana au mmesahau alichokisema wakati mnapewa kichapo na Kagera sukari pale Taifa?,alisema kwampira aliouona mkicheza hamwezi kufika mbali kwenye mashindano ya Kimataifa,Rais aliona mbali na jana yametimia,asante Rais uliwachapa za uso kweli kweli maana soka lenu ni makidai mengi na huyo msema hovyo wenu Manara sijui Mandara.
Simba mmevuna mlichopanda,mliwaona wale madogo ni wa kawaida ,mkawachukuliaa poa bila kujua ndiyo waliwapa kichapo wababe wenu TP Mazembe cha 3-0,sasa mjipange sawa sawa maana mmeshavurugwa na kwenye Ligi msipoangalia itakula kwenu,nyambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafu