Hili ndilo Jicho langu la Kiufundi kabisa kwa matokeo ya leo na kwanini Mfalme wa Nyika amefanyiwa Kitu mbaya na Wamakonde

Hili ndilo Jicho langu la Kiufundi kabisa kwa matokeo ya leo na kwanini Mfalme wa Nyika amefanyiwa Kitu mbaya na Wamakonde

hivi Ajibu Simba anahitajika kwa aina ya wachezaji tulionao, Ndemla tunamtumiaje pamoja na kumwongeza mkataba tulitakiwa kuacha baadhi ya wachezaji kama Ajib na Ndemla sababu hatutapoteza kitu badala yake pesa ya kuwasajili tukamwongezea Okwi pamoja na pesa ya mshahara wawa anapata mshahara karibuni milioni nane na nusu kwa uwezo upi Okwi alikuwa sahihi kuondoka na kwenda sehemu ambayo wanathamini uwezo wake
Hata mimi nakuunga mkono Mkuu. Kwa kuwa mahitaji ya kikosi kilichosajiliwa yalikuwa ya michuano ya kimataifa na kwa kuwa sasa timu imefurushwa huko. Kinachofuata ni kuwapeleka kwenye mkopo wachezaji kama Ajibu, Ndemla na wale Wabrazil ili rasimali za timu zitumike vizuri kuijenga upya timu.
 
Nani aliyejiamini wachezaji au mashabiki, kama mashabiki hata wakijiamini hawana athari yoyote, kama timu kujiamini sio kweli, Simba wamecheza na Azam vizuri sana, wamesajili vizuri sana wamefanya preaseason vizuri sana, kama wangekuwa wanajiamini wasingefanya yote hayo. Kushindwa kufuzu ni matokeo ya kocha Aussems na anatakiwa awajibike haraka sana.
Waliowaprezonisha nao out bado unadai ilikuwa nzuri tu, huoni walikwenda kutalii bondeni.
 
hivi Ajibu Simba anahitajika kwa aina ya wachezaji tulionao, Ndemla tunamtumiaje pamoja na kumwongeza mkataba tulitakiwa kuacha baadhi ya wachezaji kama Ajib na Ndemla sababu hatutapoteza kitu badala yake pesa ya kuwasajili tukamwongezea Okwi pamoja na pesa ya mshahara wawa anapata mshahara karibuni milioni nane na nusu kwa uwezo upi Okwi alikuwa sahihi kuondoka na kwenda sehemu ambayo wanathamini uwezo wake
Umenena la maana , tatizo kubwa kwenye timu yenu ni selfishness mnataka kusajili kila mchezaji mzuri hata kama mlionao ni wazuri mtaongeza tu ili kukomoa timu pinzani zilizokuwa zinataka kumtumia huyo mchezaji.

Ushauri wangu acheni kusajili kwa majigambo bali kwa malengo na wala siyo kujionyesha kuwa mna pesa ya kumsajili mchezaji yeyote wengine wanakuwa wa kukaa bechi mnawaharibia viwango na kuwavunja morali waliokuwepo.
 
Back
Top Bottom