Mashabiki lazima waishangilie timu yao ikifanya vizuri hiyo ipo dunia nzima, au hujui mpira.
Unaweza kumlaumu kocha kihivyo iwapo tu una hakika usajili wa hao Wabrazili ni uamuzi wake. Inahitaji kocha mlokole mno kujenga imani kwa mchezaji asiye chaguo lake.
Nendeni Mkamtake radhi Mheshimiwa Rais,ile kauli yake itaendelea kuwachoma sana au mmesahau alichokisema wakati mnapewa kichapo na Kagera sukari pale Taifa?,alisema kwampira aliouona mkicheza hamwezi kufika mbali kwenye mashindano ya Kimataifa,Rais aliona mbali na jana yametimia,asante Rais uliwachapa za uso kweli kweli maana soka lenu ni makidai mengi na huyo msema hovyo wenu Manara sijui Mandara.
Simba mmevuna mlichopanda,mliwaona wale madogo ni wa kawaida ,mkawachukuliaa poa bila kujua ndiyo waliwapa kichapo wababe wenu TP Mazembe cha 3-0,sasa mjipange sawa sawa maana mmeshavurugwa na kwenye Ligi msipoangalia itakula kwenu,nyambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafu
Aliyefungisha goli ni Medy Kagere wacha kuandika vitu usivyovijuwa.Umecheza mpira au umejiffunza mpira wapi na lini? Narudia tena kusema huku nikijiamini kabisa kuwa lile Goli ni Uzembe wake Kipa Aishi Manula ambaye hakuwa Fiti Kimchezo wa leo ila amepangwa tu kwa Shinikizo la Viongozi fulani huku Kocha nae akilazimishwa lakini hakustahili Kudaka kabisa leo. Nina uhakika kwa Utimamu wa Kimwili huku tayari akiwa katika Reli / Moto Kipa Beno Kakolanya asingefungwa lile Goli. Na Wapuuzi wachache kama Wewe ndiyo mnamvimbisha Kichwa Aishi Manula ambaye hata hivyo siyo mzuri kivile ila uzuri wake unatokana na Beki Imara inayomlinda. Ndiyo maana nimefurahi mno kuona amepata Changamoto mpya kutoka kwa Kipa Juma Kaseja na kwa Fomu ya hali ya juu aliyoionyesha jana Kipa wa Yanga SC Metacha Mnata kule Gaborone Botswana huyu Aishi Manula wako Namba ya Taifa Stars ataisikia katika Bomba hata kama Mtetezi wake na Kipenzi chake Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ataingilia kati kama alivyoingilia kati leo Aishi Manula aanze na hatimaye ametuchomesha Simba SC kwakuwa hakuwa Fiti 100%.
hivi Ajibu Simba anahitajika kwa aina ya wachezaji tulionao, Ndemla tunamtumiaje pamoja na kumwongeza mkataba tulitakiwa kuacha baadhi ya wachezaji kama Ajib na Ndemla sababu hatutapoteza kitu badala yake pesa ya kuwasajili tukamwongezea Okwi pamoja na pesa ya mshahara wawa anapata mshahara karibuni milioni nane na nusu kwa uwezo upi Okwi alikuwa sahihi kuondoka na kwenda sehemu ambayo wanathamini uwezo wakeOkwi alitaka milion 400 na salary ya million 12 nan angetoa?
Ile goli sio kosa la kipa
Huko Nangwanda hata Yanga wataenda, issue ni kuwa watashinda?*BREAKING NEWS*
```Kutokana na sheria mpya za CAF , Yanga ikitolewa Champions ligi itaenda Shirikisho. Pia kutokana na sheria mpya za CUF ya Lipumba, Simba ikitolewa Champions Ligi itaenda mojakwamoja Nangwanda Sijaona kupambana na Ndanda.```
1. Timu ya Simba SC tulijiamini kupita Kiasi.
2. Timu ya Simba SC tuliwadharau sana Wapinzani.
3. Timu ya Simba SC ilijiandaa Kupata Mapato Uwanjani na siyo Matokeo mazuri Uwanjani.
4. Timu ya Simba SC imemkaribisha Kiongozi Mmoja wa Serikali ambaye anakiharibu Kikosi.
5. Kocha wa Simba SC hasa Mchezo wa leo atakuwa Kapanga Kikosi kwa Shinikizo.
6. Kocha wa Simba SC hakutakiwa kabisa Kumpanga leo Golini Kipa Aishi Manula kwani bado hakuwa na Utayari wa Kucheza na Kitendo cha kumwacha Benchi Kipa Beno Kakolanya ambaye alishakuwa vizuri na hata Mechi ya awali na hawa UD Songo alidaka Yeye alikuwa tayari katika nafasi nzuri ya Kuwasoma na alishawafahamu tofauti na Aishi Manula ambaye aliitizama UD Songo akiwa Dar es Salaa akiuguza Majeraha yake. Hapa Kosa Kubwa mno la Kiufundi limefanyika na Kocha wa Simba SC anatakiwa atuombe Radhi wana Simba SC wote.
7. Kiongozi aliyeamuru Kuachwa kwa akina Kotei, Okwi na Niyonzima ametugharimu mno kwani Kikosi hakikutakiwa Kubadilishwa vile kutokana na kwamba hata Wachezaji walikuwa tayari wameshazoena vyema. Sijaona Tija ya Simba SC Kuwasajili Wachezaji wa Kibrazili tena ambao wengi wao ni Pancha ( Majeruhi ) na hata Uwezo wao wa Kimpira siyo ule ambao unaweza Kuwashawishi akina siye tuliobahatika kidogo Kucheza mpira hata kama siyo wa Kiwango Kikubwa kama cha Wachezaji wa Ligi Kuu.
Sijaona tatizo na hadi leo najiuliza kama kweli Simba SC ina Mwekezaji Mohammed Dewji ilishindwaje Kumalizana mapema na Wachezaji muhimu kama akina Kotei, Okwi na Niyonzima kisha wakakimbilia Kutusajilia hawa Magalasa Wabrazili? Hivi tukiacha Utani na Unafiki Francis Kahata anamfikia Haruna Niyonzima Kiuwezo? Kama kuna Wachezaji ambao naweza kusema Simba SC imefanya vyema Kuwasajili ni wawili tu Sharaf Shiboub na Deogratius Kanda ila waliobaki wote ni Takataka tupu na hawana uwezo wa Kuichezea Klabu ya Simba.
Kocha Mkuu wa Simba SC nae anaanza Kutuchanganya kwani haingii akilini anamuacha Golikipa Beno Kakolanya ambaye sasa yupo relini ( katika moto / mstari ) anatupangia Aishi Manula ambaye Kiutaalam kabisa Fitness yake haijazidi hata 25% ila Kocha analazimishwa Kumpanga kwa Shinikizo la Kiongozi fulani wa Mkoa ambaye ni Swahiba wake kwa Kusaidiana na baadhi ya Viongozi wa Simba SC bila kujua kuwa huo Upumbavu wao unaigharimu Simba SC na leo umetugharimu kweli.
Najua wana Simba SC wote tumeumia ila kama aliyeumia mno naweza kusema ni Mimi kwakuwa kwa Kuchanganyikiwa na Kutolewa mapema hivi nimekoswakoswa na dhahama moja mahala fulani Jioni hii na Kiukweli hata Usiku wangu wa leo utakuwa ni mkubwa na sijui Kesho nitaficha wapi Sura yangu na hasa ukizingatia kuwa nazungukwa na wana Yanga kwa 98% ya Maisha yangu na Mizunguko yangu.
Viongozi wa Simba SC na Wachezaji wa Simba SC leo mmetuangusha na mmetuumiza mno.
Aliyefungisha goli ni Medy Kagere wacha kuandika vitu usivyovijuwa.
hivi Ajibu Simba anahitajika kwa aina ya wachezaji tulionao, Ndemla tunamtumiaje pamoja na kumwongeza mkataba tulitakiwa kuacha baadhi ya wachezaji kama Ajib na Ndemla sababu hatutapoteza kitu badala yake pesa ya kuwasajili tukamwongezea Okwi pamoja na pesa ya mshahara wawa anapata mshahara karibuni milioni nane na nusu kwa uwezo upi Okwi alikuwa sahihi kuondoka na kwenda sehemu ambayo wanathamini uwezo wake
Lile goli ni uzembe wa Manula?! Em kuwa specific ni mpira gani uliowahi kucheza?!Umecheza mpira au umejiffunza mpira wapi na lini? Narudia tena kusema huku nikijiamini kabisa kuwa lile Goli ni Uzembe wake Kipa Aishi Manula ambaye hakuwa Fiti Kimchezo wa leo ila amepangwa tu kwa Shinikizo la Viongozi fulani huku Kocha nae akilazimishwa lakini hakustahili Kudaka kabisa leo. Nina uhakika kwa Utimamu wa Kimwili huku tayari akiwa katika Reli / Moto Kipa Beno Kakolanya asingefungwa lile Goli. Na Wapuuzi wachache kama Wewe ndiyo mnamvimbisha Kichwa Aishi Manula ambaye hata hivyo siyo mzuri kivile ila uzuri wake unatokana na Beki Imara inayomlinda. Ndiyo maana nimefurahi mno kuona amepata Changamoto mpya kutoka kwa Kipa Juma Kaseja na kwa Fomu ya hali ya juu aliyoionyesha jana Kipa wa Yanga SC Metacha Mnata kule Gaborone Botswana huyu Aishi Manula wako Namba ya Taifa Stars ataisikia katika Bomba hata kama Mtetezi wake na Kipenzi chake Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ataingilia kati kama alivyoingilia kati leo Aishi Manula aanze na hatimaye ametuchomesha Simba SC kwakuwa hakuwa Fiti 100%.
Umecheza mpira au umejiffunza mpira wapi na lini? Narudia tena kusema huku nikijiamini kabisa kuwa lile Goli ni Uzembe wake Kipa Aishi Manula ambaye hakuwa Fiti Kimchezo wa leo ila amepangwa tu kwa Shinikizo la Viongozi fulani huku Kocha nae akilazimishwa lakini hakustahili Kudaka kabisa leo. Nina uhakika kwa Utimamu wa Kimwili huku tayari akiwa katika Reli / Moto Kipa Beno Kakolanya asingefungwa lile Goli. Na Wapuuzi wachache kama Wewe ndiyo mnamvimbisha Kichwa Aishi Manula ambaye hata hivyo siyo mzuri kivile ila uzuri wake unatokana na Beki Imara inayomlinda. Ndiyo maana nimefurahi mno kuona amepata Changamoto mpya kutoka kwa Kipa Juma Kaseja na kwa Fomu ya hali ya juu aliyoionyesha jana Kipa wa Yanga SC Metacha Mnata kule Gaborone Botswana huyu Aishi Manula wako Namba ya Taifa Stars ataisikia katika Bomba hata kama Mtetezi wake na Kipenzi chake Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ataingilia kati kama alivyoingilia kati leo Aishi Manula aanze na hatimaye ametuchomesha Simba SC kwakuwa hakuwa Fiti 100%.
Kazi ya Golikipa ni nini? Acha Upumbavu tafadhali sawa? Na kama kweli Wewe unajua Mpira naomba Kukuuliza je ile Penati tuliyopewa Simba SC ilkuwa ni ya halali? Nasubiri jibu lako hapa ili nijue Wewe ni Mwanamichezo kweli au ni Shabiki Takataka kama walivyo wengi nchini.
[/QUOTE
manara tu ndo kasababisha.1. Timu ya Simba SC tulijiamini kupita Kiasi.