Hili ndilo Jicho langu la Kiufundi kabisa kwa matokeo ya leo na kwanini Mfalme wa Nyika amefanyiwa Kitu mbaya na Wamakonde

Hata mimi nakuunga mkono Mkuu. Kwa kuwa mahitaji ya kikosi kilichosajiliwa yalikuwa ya michuano ya kimataifa na kwa kuwa sasa timu imefurushwa huko. Kinachofuata ni kuwapeleka kwenye mkopo wachezaji kama Ajibu, Ndemla na wale Wabrazil ili rasimali za timu zitumike vizuri kuijenga upya timu.
 
Waliowaprezonisha nao out bado unadai ilikuwa nzuri tu, huoni walikwenda kutalii bondeni.
 
Umenena la maana , tatizo kubwa kwenye timu yenu ni selfishness mnataka kusajili kila mchezaji mzuri hata kama mlionao ni wazuri mtaongeza tu ili kukomoa timu pinzani zilizokuwa zinataka kumtumia huyo mchezaji.

Ushauri wangu acheni kusajili kwa majigambo bali kwa malengo na wala siyo kujionyesha kuwa mna pesa ya kumsajili mchezaji yeyote wengine wanakuwa wa kukaa bechi mnawaharibia viwango na kuwavunja morali waliokuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…