Hili ndilo "Tanzania Navy Commander", Jirani kaa mbali sana.

Kwani kuna vita? silaha zetu ni za kupambana na nchi gani? nani tumemzidi nguvu kijeshi?
 
Siku tuombe mechi ya kirafiki na hata Malawi tu.. tu test mitambo yetu
 
Kazi yao kubwa ni kudhibiti wapinzani[emoji1787][emoji1787]
Tuwekeeni" inventory " na picha ya silaha za jeshi lenu la "Navy", mbona mumeishiwa nguvu ghafla?. Hahahaha, hahahaha
Acheni kucheza na JW
 
Kwn picha za hvyo vifaa vyenu vya navy umezituma...
Tuwekeeni" inventory " na picha ya silaha za jeshi lenu la "Navy", mbona mumeishiwa nguvu ghafla?. Hahahaha, hahahaha
Acheni kucheza na JW
 
Meli zenu zote ni second hand Kutoka China infact zilitolewa vifaa vingine ambavyo JTWZ haikuwa inahitaji before they were delivered.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Comedy hour 😁😁
Inakaa Ile world war II Landing in Normandy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Meli zenu zote ni second hand Kutoka China infact zilitolewa vifaa vingine ambavyo JTWZ haikuwa inahitaji before they were delivered.
Hahahaha. Kuanzia Leo mjue kwamba sisi sio level, yenu. Ninyi endeleeni kununua " scrappers ", pakeni rangi na mfikirie mnaweza kupigana na sisi.

Mara " ooh, hizo ni vifaa vya China hata vikiwa "New" haviko sawa. Mara ooh, hivyo ni used.

Tanzania hata Kijiko ofisini, sheria hairuhusu kununua "used".
 
Hiyo ni bendera Nyekundu ikimaanisha hatari, hapa Tanzania, vyombo vyote vya ulinzi vinaweka bendeta nyekundu wakati wa operation maalumu.
Nyekundu Ni ya msaada Kama vile red Cross hata hivyo vifaa mlioewa bure na Uchina baada ya kushangaa watavitupa wapi...Kama hiyo nyekundu hiyo nyekundu ndio mlienda nayo kongo, ndio ikawafanya wanamgambo mipanga wakawavamia wakifikiri Ni wanajeshi msalaba mwekundu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
POLISI hao wakifanya mazoezi, angalia bendera nyekundu hiyo
Hawa ni fire brigade ama polisi?🀣🀣🀣
Kama wale ndo mnaita anti riot polisi basi mko mbali sana.
Hahaa you are just having verbal diorrahea.hata ku transport,ku supply nakufanya medavac over long distances and rough terrain hamna uwezo .The least you can do against Kenya is defending your self for a few days.
 
Ni Naval Command Siyo Navy Commander wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…