Hakuna mission mliokamilisha.
Alshabab bado wanafanya mashambuliz.
Kongo m23 waliuliwa bado hawa AFD .
Yani unazungumzia Alshabab ambao bado wanawasumbua?
Na bado wanafanya mashambuliz ?
Halafu uache upoyoyo wale wajeda wa JWTZ walifanyiwa ambush na walikua wamepumzika na risas ndio zimewaua.
Kwa bahati nzuri hawazid makumi na kwa umahiri wa JWTZ licha ya wao kuvamiwa na kushtukizwa mvamizi kakimbizwa.
Congo inagomboka.
EBU NITAJIE SHAMBULIZI LIPI UNALISIKIA LA AFD HUKO CONGO BAADA YA JWTZ KUINGIA??
ILA ALSHABAB JUZI TU WAMELIPUA HOTEL HUKO SOMALIA HALAFU NINYI MAATYAQOO MNASEMA MMEIKOMBOA SOMALIA.
MMMMEIKOMBOA NA NN ILHALI BADO HALI TETE?
AU HYO JUBA NDIO SOMALIA NZIMA?
KUHUSU USA GROUND BATTLE ANAJULIKANA MDHAIFU YULE ANAWEZA VITA ZA ANGA NA MAKOMBORA TU.
REJELEA VITA DHIDI YA SADDAM,VIETNAM,WW2 UTAJUA USA GROUND BATTLE MDHAIFU.
KDF HAKUNA MISSION MLIOKAMILISHA HYO PARACHUTE BATALLION UNA UHAKIKA HAKUNA TZ AMA MUWASHO TU?!
Tanzania has contributed uniformed UN peacekeepers in various parts of the world since 1995. It currently contributes peacekeepers in six UN missions in Africa and UNIFIL in Lebanon. Tanzania’s contributions are largely informed by its history of African liberation, conflict prevention and peace processes, especially in African countries. Regionally, Tanzania has shown willingness to participate and contribute both in terms of security and military cooperation. Under the African Peace and Security Architecture (APSA), Tanzania is part of its African Standby Force’s (ASF). Specifically, Tanzania, falls under the Southern African Development Community ( SADC ) and in 2007 signed the agreement to become part of the SADC Standby Brigade .
In 2013, Tanzania was one of three states that contributed a battalion of soldiers to the Force Intervention Brigade (FIB) as part of the UN Mission in the Democratic Republic of Congo ( MONUSCO). The FIB was established in March 2013 following the signing of the
Framework Agreement for Peace, Security, and Cooperation for the DRC and the Region and UN Security Council Resolution 2098. It was one outcome of a larger debate about the need for more robust use of force by some UN peacekeeping missions. The Intervention Brigade subsequently helped in defeating the M23 rebels. The FIB also carried out successful operations against the Ugandan rebel group, the Allied Defense Forces (ADF) in 2014. The then Foreign Minister of Tanzania, Bernard Membe said his country’s contribution of a battalion of troops as well as the first FIB commander, Brig. Gen. James Mwakibolwa, was “to help our neighbors and be advocates for peace”. However, Tanzania’s contribution was seen as a geopolitical balance and a counter to the Rwandan government, which was accused of supporting the M23 rebel group. Bernard Membe had also directly accused the Rwandan government of funding the M23 rebels and stated that the M23 rebels were “Rwandan citizens .” Tanzania’s contribution to the FIB came at a time when President Jakaya Kikwete during an African Union Summit in Addis Ababa in May 2013, suggested that Rwanda should negotiate with the FDLR rebels in eastern DR Congo, a preposition which didn’t go well with Rwandan authorities.
Isome Tz na JWTZ yake asa KDF sijui inatambulika na nn?
Ilikuwa Ni mipango Serikali yenu kao a aibu wakasema Ni risasi wakati wamelala/pumzika.KDF kapambana na Alshababe waliowapeleka mbio Wamarekani Hadi kutoroshwa...KDF ilikomboa Somalia Hadi wa leo Kuna Serikali, uchaguzi na biashara bila matukio mengi ya mashambulizi nothing in Kenya and Somalia.
Tangu JWTZ(Jeshi waoga wa Tanzanian) waingie Kongo Nini wamebadilisha??? Vita vimezidi Kama kawaida tangu siku za Lumumba Hadi Sasa wakati wa Tshisekedi...Jeshi lenu Ni pambio huko wakikwepa palipo na Vita vikali...Jeshi lenu Ni dhaifu mno Kama ilivyodhihirishwa na na watoto wanamgambo mipanga Boyz.