Safi sana Rais wa Mbeya vijana watakula bingo, waandisi wa habari watamuelewa Waziri msela.
Kamanda Lema atakuwa wapi?
La malawi
Ni kweli Ila bila ccm Lisu hapewi nchi kwa njia ya kawaida. Lazima kuwe na vigogo ndani ya ccm wa kumwonyesha njia ya namna ya kuchukua nchi baada ya kushinda kwa kura.CHADEMA ina hazina kubwa wa wasomi na wenye upeo mkubwa kwahyo tunajitosheleza bila kutegemea upande wa pili kama wale jamaa wa buku 7.
Mambo ya nje.ili ilo baraza litupoteze kabisa, msigwa spika si vichekesho hiviSafi sana Rais wa Mbeya vijana watakula bingo, waandisi wa habari watamuelewa Waziri msela.
Kamanda Lema atakuwa wapi?
Mbowe ana Masters ya Hull UniversityWaziri anatakiwa awe na degree at least! Twambie Sugu na Mbowe walimaliza degree zao vyuo gani?